BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
Wanabodi, nawakumbusha tena ile fursa adimu ya kujua kuhusu meditation ni leo saa 12:00 -2:00 pale Russian Cultural Center. Kiingilio ni bure!.
Karibuni sana njooni tumediteti!.
Pasco!.
Kumediteti, ni kutulia na kutafakari ili kufungua milango ya will power kufanya mambo ndani yako.kumeditati ndo nini?
Inahusiana na Metaphysics?
Tribute to Dena Amsi.Pasco,
Hebu nifahamishe mwenzio mie STD 2 kumediteti ndo nini???