Ni lini application za masters zitafanyika.

Ni lini application za masters zitafanyika.

Andie

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
712
Reaction score
1,642
Habari wadau., naomba kuuliza kwa wanaojua lini application ztafanyika maana nmejitahdi kufuatilia kwenye website za vyuo mbalimbali kama UDOM na Mzumbe,ila hakuna taarifa zozote kuhusu hili. UDSM wamepost tangazo kuwa deadline ilikua tar 15 mrch !!.
 
Back
Top Bottom