Andie
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 712
- 1,642
Habari wadau., naomba kuuliza kwa wanaojua lini application ztafanyika maana nmejitahdi kufuatilia kwenye website za vyuo mbalimbali kama UDOM na Mzumbe,ila hakuna taarifa zozote kuhusu hili. UDSM wamepost tangazo kuwa deadline ilikua tar 15 mrch !!..