Ni lini Barabara ya Mpigi Magohe itawekewa lami?

Ni lini Barabara ya Mpigi Magohe itawekewa lami?

KUKU_UFUGAJI

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
857
Reaction score
1,727
Habari ya muda huu wadau.

Mimi ni mkazi wa huku maeneo ya Mpigi Magohe, wilaya ya Ubungo.

Nina omba kuuliza hivi ni lini serikali itaweka lami hii barabara ya Mpigi magohe maana siyo kwa vumbi hili, barabara ni ya vumbi, huwa ina chongwa tuu basi kila baada ya kipindi cha mvua, barabara ni pana sana, ni kiasi cha kuwekwa lami tuu na vituo vya daladala basi

Ila mpaka sasa hakuna kinacho endelea juu ya kuwekwa lami, watu wanao kaa hili eneo ni wengi mnoooo, yaani sana tu, tunapata shida sana ya usafiri kwa sababu mida ya jioni kutoka pale Mbezi nauli huwa ina panda kutoka sh 600 mpaka 1,000 sababu magari ni machache yakuja huku Mpigi magohe mwisho sababu ya ubovu wa barabara.

Watu wa serikali ni kwamba hamlioni hili au mna potezea tuu ?!
 
🤣🤣muulize mbunge wako kitilaah mkumbo,si juzi alikuwa hapo jimboni?
Hahahah unchagua mtu wa irambahh ubungo-mpiji majohe🤔atakusaidia nn?kashazoea kulima alizet yuleee
 
Pesa ya hiyo barabara imeishapatikana, kwa sasa tupo kwenye mchakato wa kumpata mkandarasi.
 
Pesa ya hiyo barabara imeishapatikana, kwa sasa tupo kwenye mchakato wa kumpata mkandarasi.
Hakuna kitu kama hicho, kwasasa hakuna maendeleo nchi inarudi miaka ishirini iliyopita.
 
Back
Top Bottom