Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa mujibu wa Katiba yao ni mtu ndiye anayeombwa na Halmashauri kuu kuwa Mwenyekiti wa chama chao Taifa na siyo wanachama wanaomba kugombea nafasi hiyo.
Kwa nini Wenyeviti woote kuanzia ngazi ya shina mpaka Mkoa waombe kugombea na kushindanishwa na wengine lakini inapofika ngazi ya taifa hakuna fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti Taifa.
CCM inaogopa nini kushindanisha wanachama wake kugombea nafasi ya uenyekiti Taifa?