Magufuli ndio alikataa bayana na kuonyesha hakuwa na mpango huo mnaona sasa amejirudia kwa Muumba ili mpate aibu mliokuwa mnamzonga kuwa anampango wa kung'ang'ania kujiongezea madaraka! Shame on you! Mfyuuuuuu!Angalau mama Samiah hatakuwa na akili za kijinga kujaribu kujiongezea muda wa kuwa madarakani baada ya muda wake kwisha.Kwa hiyo hata kama itakuwa utawala wa kufunga mikanda Lakini yenye kikomo!
Duh, bado tu hunielewi pamoja na kukuelewa kwa gazeti🤔!Suala la kuongeza mishahara siyo hisani mzee ni la kisheria.mtu yeyote asiyefuata sharia hatufai aondoke. Unaniita popoma kwakuwa juju ulisemalo. Mtu apore ushindi kwenye masanduku ya kura kisha awe shujaa wa AFRICA? Kamfufue ukaweke ndani kwako
Amepora haki za watu wangapi?
Sheria Sheria 😡, ww mwenywe umeshavunja sheria ngapi so far tena siyo za binadamu bali za Mungu mfyuuuuuu 😡! Tukuambieje sasa🙊! Acha unafiki na double stds! Magufuli is our hero! Mungu airehemu roho yake mpendwa wetu Mh Dr JPM, shujaa wa Africa!Duh, bado tu hunielewi pamoja na kukuelewa kwa gazeti🤔!
Hajawahi kukemea kihaswahaswa alikuwa anafurahia hizo pambio.Huenda hili jambo ndio limemtanguliza Jongomeo,kwa dua walizokuwa wanapiga CCM wenzake.Katika Jambo linalowakera CCM wenzake,ni hili la kuanza kampeni ya kujiongezea muda!Magufuli ndio alikataa bayana na kuonyesha hakuwa na mpango huo mnaona sasa amejirudia kwa Muumba ili mpate aibu mliokuwa mnamzonga kuwa anampango wa kung'ang'ania kujiongezea madaraka! Shame on you! Mfyuuuuuu!
Alikua......pumbafu hujui hata kiswahili ndo maana enzi za uhai wake aliwageuza wote mazombie isipokua yy tu kwa kila jamboMbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.
Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.
Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Ndo hivyo, ni Rais wetu tulikuwa tunamuelewa lugha anayoongea. Huwezi badili chochote...kafanya alichokiamini, kama kilikuumiza kwa namna yoyote poleAlikua......pumbafu hujui hata kiswahili ndo maana enzi za uhai wake aliwageuza wote mazombie isipokua yy tu kwa kila jambo
Wewe ukijidai umekufa hapo kwenu mbona utaona waliaji wenye gunia la machozi,ndo unapendwa?Jidai umekufa ww uone afu uamke katikati ya msiba uone kama kuna mtu atakulilia!?
Achana na hawa wazima data kipindi cha uchaguzi. Kama wanapendwa kwanini wazime dataNaona wanaCCM wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawaringishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!
Ni lini CCM watajua kwamba upinzani ushamalizana na Magufuli siku ile ile aliyotangazwa kufariki? Upinzani ni upinzani wa serikali ya CCM iliyopo madarani. Magufuli alikoma kuwepo madarakani siku alipofariki sahizi upinzani unamuhofia Mama Samia Suluhu Hassan maana ndiye mwenye dola na tunajua kwa utaratibu wa CCM huyo ndiye mgombea Urais 2025 maana CCM huwa hawajitokezi kuchukua fomu kumpinga Rais anayetetea kiti chake.
Hivyo nawashauri CCM waachane na nyomi la msiba wa Hayati Magufuli waanze kumsifu Mama Samia Suluhu, haimsumbui Mnyika wala Zitto picha ya nyomi la msiba wa Hayati Magufuli maana anawaza uchaguzi wa 2025 na anajua JPM hatakuwepo.
Ndoto kama ya alielewa kangara vile.Wanaomchukia wamepungua zaidi, sahivi wapo kwenye 30,000 hivi na sehemu.
Jiwe alikuwa anawaandalia vitambulisho vya unyonge wa kudumu.Serikali ya wanyonge! Hao wanyonge ni wakina nani, na ninani kasababisha wawe wanyonge na wataendelea kuwa wanyonge hadi lini.
Embu nambie Kangara ni kinywaji gani bwashee?Ndoto kama ya alielewa kangara vile.
Muulize kamanda wenu lissu kama jinozi la JPM limuacha...kila kukicha ni wivu kwa marehemu...Naona wanaCCM wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawaringishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!
Ni lini CCM watajua kwamba upinzani ushamalizana na Magufuli siku ile ile aliyotangazwa kufariki? Upinzani ni upinzani wa serikali ya CCM iliyopo madarani. Magufuli alikoma kuwepo madarakani siku alipofariki sahizi upinzani unamuhofia Mama Samia Suluhu Hassan maana ndiye mwenye dola na tunajua kwa utaratibu wa CCM huyo ndiye mgombea Urais 2025 maana CCM huwa hawajitokezi kuchukua fomu kumpinga Rais anayetetea kiti chake.
Hivyo nawashauri CCM waachane na nyomi la msiba wa Hayati Magufuli waanze kumsifu Mama Samia Suluhu, haimsumbui Mnyika wala Zitto picha ya nyomi la msiba wa Hayati Magufuli maana anawaza uchaguzi wa 2025 na anajua JPM hatakuwepo.
MliyonyweshwaEmbu nambie Kangara ni kinywaji gani bwashee?
Nisije kuchukia bure,kumbe Kangara ni kinywaji swafi kabisa.
lakini amekufa siyoHakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Ukweli upi nguvu ya umma imeonekana inamsemea marehemu na kumsafisha sasa nitakuwa nakushangaa ukisema watu kudeki barabara apite kuweka nguo zao walilazimishwa huo NI ukweli kwamba MAGUFURI nikipenzi cha watanzaniaAlikuwa dhalimu na dictator, hivyo mjae uwanjani ama muamue kuzikwa naye kwenye kaburi moja, haiondoi ukweli huo fullstop.
Ukweli upi nguvu ya umma imeonekana inamsemea marehemu na kumsafisha sasa nitakuwa nakushangaa ukisema watu kudeki barabara apite kuweka nguo zao walilazimishwa huo NI ukweli kwamba MAGUFURI nikipenzi cha watanzania
Hata akisafishwa ana faida gani sasa?Ukweli upi nguvu ya umma imeonekana inamsemea marehemu na kumsafisha sasa nitakuwa nakushangaa ukisema watu kudeki barabara apite kuweka nguo zao walilazimishwa huo NI ukweli kwamba MAGUFURI nikipenzi cha watanzania