Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

Soma tena walichoandika... hawakusema one time viewers....

Ngeli shida mkuu??
Uza ubongo ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara. Dunia ina watu 7.8b, hiyo idadi ni nusu ya watu wote duniani. Kwakuwa ww ni mzee ndio unaweza kuambiwa uongo wa kishamba hivyo ukaamini. Fainali ya kombe la dunia yenyewe haina viewers wa hivyo, ndio waangalie msiba wa huyo peasant mshirikina?
 
ahahahaa ciku ya kampeni ni clips zote za magu kwa kwenda mbele
Naye alifikiri atafika huko! Anza kuringishia
What's your logic?

Mungu anaoaminiwa na wakatoliki ndio amehusisha sala ya toba ya mwisho (mpako mtakatifu) na hukumu ya Mungu wao.

Sina uhakika wa Mungu wako Budha ama yeyote anahusikaje na mafundisho yake..

Ila ukatoliki ni dini yenye uhusiano na Mungu wao.... kutofautisha ukatoliki na Mungu wao ukauliza Mungu je... hapo rudia tena swali labda ama Mungu yupi unayeulizia... wakatoliki wanamwamini Mungu Yahweh ...kwenye biblia yao na kwa tafsiri yao
Mbona hawafuati maagizo ya Yahweh sasa!
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Mwanamke huna akili kweli wewe.
 
Soma tena walichoandika... hawakusema one time viewers....

Ngeli shida mkuu??

Acha one time viewers, hata hilo tukio lingeonyeshwa mwaka mzima hakuna uwezekano wa kuangaliwa hata na watu 100m. Kama unajua kutumia mitandao vizuri, tazama kama yupo hata katika top100 views toka alipofariki. Nani ana muda wa kutazama mtu wa maporini?
 
Naona wanaCCM wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawaringishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!

Ni lini CCM watajua kwamba upinzani ushamalizana na Magufuli siku ile ile aliyotangazwa kufariki? Upinzani ni upinzani wa serikali ya CCM iliyopo madarani. Magufuli alikoma kuwepo madarakani siku alipofariki sahizi upinzani unamuhofia Mama Samia Suluhu Hassan maana ndiye mwenye dola na tunajua kwa utaratibu wa CCM huyo ndiye mgombea Urais 2025 maana CCM huwa hawajitokezi kuchukua fomu kumpinga Rais anayetetea kiti chake.

Hivyo nawashauri CCM waachane na nyomi la msiba wa Hayati Magufuli waanze kumsifu Mama Samia Suluhu, haimsumbui Mnyika wala Zitto picha ya nyomi la msiba wa Hayati Magufuli maana anawaza uchaguzi wa 2025 na anajua JPM hatakuwepo.
Acha kujidanganya na kujipa moyo bure. Sasa magufuli alikua wa nani kama sio ccm. Nyomi la magufuli akiwa mfu ni la ccm. Kama hutambui hilo subiri 2025.
 
Kipindi cha JK kulikuwa na miradi mikubwa kama ya Magu! Watoto walikuwa wanasoma bure🤔😡!

We huwezi kuelewa endelea na manung'uniko mbegu zinaendelea kukua na kustawi!

Hata nisipoongezwa buku30 napoona miradi inaendelea kuisha najua muda wa mavuno umekaribia na najiona fahari kuwa hela yangu inaijenga nchi yangu kwa faida yetu na vizazi vijavyo!

Aaah, kumbe naongea na popoma 😂 huwezi kuelewa!
Idiot
 
Hater.....
Acha one time viewers, hata hilo tukio lingeonyeshwa mwaka mzima hakuna uwezekano wa kuangaliwa hata na watu 100m. Kama unajua kutumia mitandao vizuri, tazama kama yupo hata katika top100 views toka alipofariki. Nani ana muda wa kutazama mtu wa maporini?
 
Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.

Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.

Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
[emoji23][emoji23][emoji23]hv vichekeaho umetoa wapi mkuu
 
Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.

Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.

Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Mwaga wedi nyule afuwe
 
Back
Top Bottom