the kind
JF-Expert Member
- Nov 6, 2019
- 907
- 774
Ngoja akakutane na wakina Hitler, Amin,Osama wamnyooshe vizuriNdio unaokutesa! Pole, there is nothing we can do! Huo ni ugonjwa uliozaliwa nao na utakufa nao😭!
No longer with no end,pole sana
Ngoja akakutane na wakina Hitler, Amin,Osama wamnyooshe vizuriNdio unaokutesa! Pole, there is nothing we can do! Huo ni ugonjwa uliozaliwa nao na utakufa nao😭!
Hakuna urafiki kati ya nuru na giza! Hawatakutana! RIP our hero 💔🙏😭!Ngoja akakutane na wakina Hitler, Amin,Osama wamnyooshe vizuri
No longer with no end,pole sana
Kwa MWENYEZIMUNGU ndio makutanoHakuna urafiki kati ya nuru na giza! Hawatakutana! RIP our hero 💔🙏😭!
Duuuuh!!!Mbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.
Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.
Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Duuuuh!!!
Mkiitwa nyinyi ni watoto wa yule baba wa uongo,mnasema mnatukanwa.
Lini ulifanya utafiti ukagundua Watanzania tupo milioni 50!!??
Lini ulifanya tafiti zikakuonyesha JPM hapendwi na not more than 50,000 Tanzanians!!?
Hii nchi inabidi ifanye maombi maalum ya kuifungua toka kwa kifungo cha yule baba wa uongo.
Kuanzia juu mpaka chini ni uongo uongo uongo!!!
Damn it!
Analiliwa na wapuuzi kama wewe.Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Ndio ataamka au? Ujinga kweli ni sifa kama ilivyo urefu na ufupiHakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]!
Jinyonge basi! Mshahara haukuongezwa bali makato ya mshahara yalipunguzwa! Hata hivyo wenye akili tunaona kesho/mbali tunamfurahia Magufuli aliyoyafanya ni kama kuamua kukaanga mbegu na kula au upande ziote kisha mvune kingi cha kutoshereza! Ofcourse kwa upungu ulionao huwezi elewa popoma ww mfyuuuuuu!Analiliwa na wapuuzi kama wewe.
Mfanyakazi hajaongezewa mshahara kwa maika 6 alilie MZOGA?
With in a five years unapinguza makato yenye thamani ya sh elfu kumiJinyonge basi! Mshahara haukuongezwa bali makato ya mshahara yalipunguzwa! Hata hivyo wenye akili tunaona kesho/mbali tunamfurahia Magufuli aliyoyafanya ni kama kuamua kukaanga mbegu na kula au upande ziote kisha mvune kingi cha kutoshereza! Ofcourse kwa upungu ulionao huwezi elewa popoma ww mfyuuuuuu!
Our only prayer is for God to bless and enable our Iron lady, Hon. President SSH with courage to fulfill everything that has been started faithfully!
Sisi hatuna shida akitenda haki, akizingua tunampa msongo wa mawazo. Yaani yeye hatufarahi, na sisi hatutafurahi, habari ndio hiyo.
Kipindi cha JK kulikuwa na miradi mikubwa kama ya Magu! Watoto walikuwa wanasoma bure🤔😡!With in a five years unapinguza makato yenye thamani ya sh elfu kumi
Mwenzio alikua anaongeza si chini ya elfu thelathini kila mwaka na akawa anapandisha madaraja angalau kwa wakati
Yapo mazuri aliyoyafanya mengi tu lakini propaganda zitawasaidia nini?
Mimi hata nisipokuwa malaika poa tu maana sijifanyi mcha Mungu, wala silazimishi kupendwa. Yeye sasa.
Wacheni kujidanganya nyie, Kumalizana na John Pombe Magufuli itawachukua karne nzima na zaidi....
Magufuli alikua wa CCM ameondoka kimwili lakini kifikra anaishi ndani ya mioyo ya Watanzania, na CCM imara pamoja na serikali makini alivyojenga bado ipo chini ya uongozi makini aliouacha wa Rais Samia Suluhu Hassan [emoji7][emoji1241][emoji91]
Hongera sana kwa CCM hakika wa kuwaondoa marakani atafute kitanda alale tuu maana atasubiri karne
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan [emoji1241][emoji7][emoji91]
Apumzike kwa amani Dr John Pombe Joseph Magufuli[emoji174][emoji120]
Kesha ufanye maombi. Baba anapendwa...Duuuuh!!!
Mkiitwa nyinyi ni watoto wa yule baba wa uongo,mnasema mnatukanwa.
Lini ulifanya utafiti ukagundua Watanzania tupo milioni 50!!??
Lini ulifanya tafiti zikakuonyesha JPM hapendwi na not more than 50,000 Tanzanians!!?
Hii nchi inabidi ifanye maombi maalum ya kuifungua toka kwa kifungo cha yule baba wa uongo.
Kuanzia juu mpaka chini ni uongo uongo uongo!!!
Damn it!
Magufuli ni rais wa watanzania na kiongozi shupavu kuwahi kutokea dunia.Nimekuwekea zawadi ya attachment..
3.4 billion viewers wanafuatilia msiba wakeView attachment 1732560
Magufuli ni rais wa watanzania na kiongozi shupavu kuwahi kutokea dunia.
Atabaki kwenye vitabu vya historia kama rais wa karne
Kwaajili yake najivunia sana kuwa mtanzania
Shujaa ameendoka lakini misingi na rasilimali alizotengeneza na alizosimamia zitaendelea kuishi[emoji174][emoji120]
Asante kwa hii Themagufulianz [emoji120]
Alishamwambia boss wake anamshukuru kwa kumnyoosha na akamwomba apumzike sasa ili yeye amsaidie kutunyooshaMama Samia atuachie historia ya kufanya zaidi ya Magu
Alishamwambia boss wake anamshukuru kwa kumnyoosha na akamwomba apumzike sasa ili yeye amsaidie kutunyoosha
I love my President Samia Suluhu Hassan [emoji1241][emoji91][emoji91][emoji91]
John Pombe Magufuli nilimpenda na nitampenda hadi mwisho wa dahari[emoji174][emoji7][emoji120]
Kwani sh ngapi[emoji22][emoji22][emoji22]
Mbona una mchecheto kuhusu nyomi inayoombeleza kifo cha Mpendwa wao? Hiyo nyomi ilikuonyesha kadi zao za CCM?Naona wanaCCM wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawaringishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!
Ni lini CCM watajua kwamba upinzani ushamalizana na Magufuli siku ile ile aliyotangazwa kufariki? Upinzani ni upinzani wa serikali ya CCM iliyopo madarani. Magufuli alikoma kuwepo madarakani siku alipofariki sahizi upinzani unamuhofia Mama Samia Suluhu Hassan maana ndiye mwenye dola na tunajua kwa utaratibu wa CCM huyo ndiye mgombea Urais 2025 maana CCM huwa hawajitokezi kuchukua fomu kumpinga Rais anayetetea kiti chake.
Hivyo nawashauri CCM waachane na nyomi la msiba wa Hayati Magufuli waanze kumsifu Mama Samia Suluhu, haimsumbui Mnyika wala Zitto picha ya nyomi la msiba wa Hayati Magufuli maana anawaza uchaguzi wa 2025 na anajua JPM hatakuwepo.