Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Tunachosema ni kwamba watanzania walimuelewa JPM.Kwamba kumbe yale yote aliyowafanyia ndicho kilikuwa kipaumbele cha walio wengi.Wao Katiba mpya na maandamano siyo kipaumbele chao kwa sasa.
Wamemuelewa au wakionyesha hisia zao wanatekwa na kuuwawa? Siasa za kidhalimu sasa basi.