pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Nachowapendea CCM wanamtetea hadi marehemu, na kwa mapenzi yao sijasikia hata moja aliyeamua kufa nae.
Watakupuuza lakini umesema ukweli. Maisha hayasimami bali huendelea. Tunapaswa kuendelea na maisha na watu walio hai.
Ninahisi marehemu atatumiwa kupata huruma, ninakumbuka waliokuwa wanasema Chadema inategemea kura za huruma kwa sababu mgombea wake alipigwa risasi. Sasa itakuwa “kumuezi JPM”. Wasisahau wao ndio watakuwa watendaji na sio JPM ambaye hawezi tena kufanya uamuzi wala utendaji!!
Nyomi imewaumbuaNaona wanaccm wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawalingishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!
Ni lini CCM watajua kwamba upinzani ushamalizana na Magufuli siku ile ile aliyotangazwa kufariki? Upinzani ni upinzani wa serikali ya CCM iliyopo madarani. Magufuli alikoma kuwepo madarakani siku alipofariki sahizi upinzani unamuhofia Mama Samia Suluhu Hassan maana ndiye mwenye dola na tunajua kwa utaratibu wa CCM huyo ndiye mgombea Urais 2025 maana CCM huwa hawajitokezi kuchukua fomu kumpinga Rais anayetetea kiti chake.
Hivyo nawashauri CCM waachane na nyomi la msiba wa Hayati Magufuli waanze kumsifu Mama Samia Suluhu, haimsumbui Mnyika wala zitto picha ya nyomi la msiba wa Hayati Magufuli maana anawaza uchaguzi wa 2025 na anajua JPM hatakuwepo.
Swali la msingi sanaSerikali ya wanyonge, hao wanyonge ni wakina nani,na ninani kasababisha wawe wanyonge na wataendelea kuwa wanyonge hadi lini
Dikteta Stalin huyu akiagwa mwezi March 1953,madikteta wengi wanakufaga Mwezi MarchNyomi imewaumbua
Unawaza kitoto sana.Wapinzani kwa sasa hakuna kuna wahuni tu! Walikuwa na upinzani wa kweli wameshahamia ccm au kwa sasa hawana chama!
Hata mimi nimekuwa nikiwaza kama wewe.....Naona wanaccm wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawalingishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!
Ni lini CCM watajua kwamba upinzani ushamalizana na Magufuli siku ile ile aliyotangazwa kufariki? Upinzani ni upinzani wa serikali ya CCM iliyopo madarani. Magufuli alikoma kuwepo madarakani siku alipofariki sahizi upinzani unamuhofia Mama Samia Suluhu Hassan maana ndiye mwenye dola na tunajua kwa utaratibu wa CCM huyo ndiye mgombea Urais 2025 maana CCM huwa hawajitokezi kuchukua fomu kumpinga Rais anayetetea kiti chake.
Hivyo nawashauri CCM waachane na nyomi la msiba wa Hayati Magufuli waanze kumsifu Mama Samia Suluhu, haimsumbui Mnyika wala zitto picha ya nyomi la msiba wa Hayati Magufuli maana anawaza uchaguzi wa 2025 na anajua JPM hatakuwepo.
Na viongozi wa Chadema watakuwepo kwenye hilo baraza la mabadiliko? Naamini bado itabaki CCM tuu.Na hawajui kuwa huenda mama nabadilisha kabisa barazanla mawaziri na kufuta kabisa nyayo za jiwe
HahahaaaaaEndelea kuzimia, viongozi wako, wako bize kugawana vyeo na kutengeneza mtandao, ukizinduka usilisahau jinalako - mwananchi maskini a.k.a mwananchi mnyonge.
Yeye mwenyewe ni jiwe la jinsia ya mwanamke!Na hawajui kuwa huenda mama nabadilisha kabisa barazanla mawaziri na kufuta kabisa nyayo za jiwe
Takwim zako not validMbona hii vita ni nyie mlianza? Sasa mnajibiwa kwa mambo halisia mnaanza kujihami.
Magufuli ni kipenzi cha watu hata Kama kuna makosa aliyafanya.
Kati ya watu mil50, wanaomchukia ni kama elfu 50 tu
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Bondi ipi acha kudanganya watuInawezekana ww hata kuiongoza familia yako imekushinda na hutakuja kuweza maana ni mpumbafu! Ndio maana huwezi hata kuelewa 'bond' iliyopo kati ya Magufuli na watanzania! Ondoka uende Zenji, au Mza, au Geita wakati wakiaga nenda kawaulize!
Takwim zake ni Kama zile za covidTakwim zako not valid
Kwani kupinga ni dhambi? We were not created to think equally na ndio maana hata idi amini dada wapo wanaompenda mpaka Leo.Wanachoniuzi hawa jamaa akina lema,ni kupinga pinga mpk kwenye msiba wao wanapinga tu. Ndio nimeona upinzani wa nchi hii hauna maana.
Kamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.
Afande sele ujamsikia kwaniNachowapendea CCM wanamtetea hadi marehemu, na kwa mapenzi yao sijasikia hata moja aliyeamua kufa nae.
Wewe ni mgeni hapa nchini?Kamwambie huu upumbavu Lissu na Lema, wanakesha wakishangilia na kukejeli huu msiba, kwa hili hatutawasahau, Lissu labda asirudi Tz, ila akirudi atapata halali yake, na wala sio TISS au polisi watakaye deal naye, ni vijana tu mtaani watamtandika na chochote kisu, panga, bisibisi ili mradi iwe somo tu.
Naona wanaccm wengi bado wapo busy na Magufuli, wanawalingishia upinzani nyomi iliyojitokeza kumuaga Hayati Magufuli kana kwamba upinzani una interest sana naye? Ooh anakubalika! ooh sijui ni mzalendo! ooh alikuwa Rais wa wanyonge! Ona anavyopendwa!