Ni lini CCM watajua kuwa upinzani umemalizana na Magufuli?

mwenzako alimtandika Lissu 16 bullets na akafa yeye kabla ya lissu sasa hiki ulichokiandika ni signature yako kutangulia kabla ya lissu mark my words.

Labda kama hujui 80% ya waliopanga na uratibu mauwaji ya Lissu yamewakuta wao fwatilia utajua so you are next .
 
Hakuna ngoja dawa iwaingie wapuuzi sana nyie! Eti ni dictator, hapendwi mfyuuuuu!
Subirini muone tunavyompenda mpaka wafanyakazi tunamlilia mpaka tunazima😭😭😭😭!
Kafa lakini, ama?
 
Enzi za siasa chafu zimefika mwisho, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika, alizomwaga zinatosha, kwa sasa aendelee kutoa hesabu huko ahera madukani.
Tindo hebu acha hizo basi!
 
Kumbe bado kuna upinzani nchi hii!!!
 
Basi mfufueni mumuongezee muda wa kutawala kama mnampenda sana
 
Alikuwa dhalimu na dictator, hivyo mjae uwanjani ama muamue kuzikwa naye kwenye kaburi moja, haiondoi ukweli huo fullstop.
Wengine mlipita madarasa na mkaisahau elimu class!
Mzikilize huyu akupe mashule kidogo👇
 
Narudia tena, Mungu kaamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika, aliyekuwa anaendesha siasa za kidhalimu sasa kaondoka, unakwama wapi?
Siasa za kidhalimu? We Tindo hivi umesoma mpaka wapi vile duh!

Jifunze kwa huyu msomi maana amekuzidi mbali sana👇
 
Umenena jambo la maana sana. Naona CCM wenyewe wanajenga mazingira ya kujimaliza. Ameshaondoka na hawezi kurudi, hata dunia nzima ingekuja leo kumwaga, baada ya hapo maisha yanaendelea Upinzani unaendelea, maendeleo yanahitajika.

Kuna hali inajengeka akili mwa watu, kuwa hakuna kama yeye atakaye kujakutokea (ni kweli) ila wapo wengi watakuja kushika madaraka wenye uwezo zaidi yake.
 
Siasa za kidhalimu? We Tindo hivi umesoma mpaka wapi vile duh!

Jifunze kwa huyu msomi maana amekuzidi mbali sana👇

Elimu yangu ni darasa la saba la ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…