Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Labda siku akitangulia mbele ya haki maana watanzania tunamkumbuka mtu akishatangulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe unaweza kufanya hivyo?Hajawainua usimpe sifa asizo stahil.
Alichofanya ni kuwapa mafas ya kuonyesha uwezo (wao) kama yeye alivyopewa nafas na Bob Junior.
Mwisho wa siku akautumia uwezo wa hao vijana kujinufaisha. So kwakifupi madogo walipewa platform ila wakawa wao ndio wanapambana kuingiza pesa ya kumlipa Diamond na kujilipa wenyewe
Tatizo wabongo tunasubiri mtu afe tuanze unafiki wetu. Chibu pia amwewapa platforms kubwa wanawake aliozaa nao kama ifuatavyo:Mtampa lini Diamond Platnumz heshima yake kwa kile alichokifanya kuwainua Harmonize na Rayvanny wakati wao wameshindwa kabisa kuwainua wengine kwenye lebo zao.
WCB ndio lebo pekee iliyofanikiwa kupelekea wasanii International na kujulikana... Leo hii ukimzungumzia Zuchu, ni msanii international. Ukimzungumzia Mbosso Khan na wengineo ni wanasumbua vichwa vya mjini. Dogo D-Voice katoka juzi tu lakini sasa hivi ana hit songs za kutosha.
Nyie mashabiki wa konde gang for everybody msingemjua Konde Boy bila Chibu Dii Chibu Dee Simba (Wee Zombie Haujui). Harmonize anatutumua kifua lakini Godfather wake ni Chibu. Same applied to Rayvanny V-vanny boy Chui, leo hii kafanikiwa kuchukua tuzo ya BET kwa sababu alipewa platform na chibu Dii Chibu Dee.
Ni wazi kabisa PLATNUMZ inabidi apewe maua yake kwa kufanya soko la mziki kuchangamka na kuwa kibiashara. Diamond Platnumz akifa leo uenda yakatokea kama ya Kanumba na Bongo Movie. Tutakuwa kama wakenya na mziki wao, tunaimba wee ila hatutoboi. Mziki wa East Africa umeshikwa na WCB.
Kwann nisiweze.? Leveraging on people? Nani asiyependa kutumia vipaji vya watu kujinufaisha???wewe unaweza kufanya hivyo?
Akifa maua atapata na sifa kibao ....Mtampa lini Diamond Platnumz heshima yake kwa kile alichokifanya kuwainua Harmonize na Rayvanny wakati wao wameshindwa kabisa kuwainua wengine kwenye lebo zao.
WCB ndio lebo pekee iliyofanikiwa kupelekea wasanii International na kujulikana... Leo hii ukimzungumzia Zuchu, ni msanii international. Ukimzungumzia Mbosso Khan na wengineo ni wanasumbua vichwa vya mjini. Dogo D-Voice katoka juzi tu lakini sasa hivi ana hit songs za kutosha.
Nyie mashabiki wa konde gang for everybody msingemjua Konde Boy bila Chibu Dii Chibu Dee Simba (Wee Zombie Haujui). Harmonize anatutumua kifua lakini Godfather wake ni Chibu. Same applied to Rayvanny V-vanny boy Chui, leo hii kafanikiwa kuchukua tuzo ya BET kwa sababu alipewa platform na chibu Dii Chibu Dee.
Ni wazi kabisa PLATNUMZ inabidi apewe maua yake kwa kufanya soko la mziki kuchangamka na kuwa kibiashara. Diamond Platnumz akifa leo uenda yakatokea kama ya Kanumba na Bongo Movie. Tutakuwa kama wakenya na mziki wao, tunaimba wee ila hatutoboi. Mziki wa East Africa umeshikwa na WCB.
Kati ya wanaigeria na wabongo wapi ni wengi nchin marekani?Ndo ukweli, unadhani hizo academy awards kina burna boy wanachukua bure?
Mashabiki wa marekani na ulaya ndo wana uwezekano mkubwa wa kustream, kusafiri kuona shows, kupigia kura nominations
Wasanii wengi wa nigeria ndo wapo global, hata wakifanya show huku africa kuna wazungu wanakuja kuona
Angalia mashabiki wake wengi wanapotoka, hata nyumbani mnamkataa
View attachment 2921209
Anaposikilizwa sana maredioni
View attachment 2921210
Hatuelewani.Kati ya wanaigeria na wabongo wapi ni wengi nchin marekani?
Burna boy anatumia lugha gani na diamond anatumia lugha gani?
tafuta wanaigeria 400 wanaomfatilia da baby na wanaojua nyimbo na albamu zake halafu ukute hata kama 50 wanafika.
Nigeria wapo wengi marekan na hata kwa population wametuzidi mbali
Diamond ni msanii international regardless bado tunatumia lugha ambayo ulimwenguni haitumiwi kwa ukubwa lakin kazi kubwa kaifanya kupeleka mziki katika mizani ya kimataifa.
kwanza kabisa huelewi maana ya international.Hatuelewani.
Haijalishi lugha wanazotumia, ukiwa na mashabiki wengi nchi zilizoendelea, ndo unakuwa international
Anao mashabiki huko, ila sio wengi
Dababy sijui anaingiaje hapa
Wewe ni shabiki maandazi
best african artist kapewa na TRACE, haina uzitokwanza kabisa huelewi maana ya international.
Pili, anao mashabiki huko ila sio wengi, halafu bado unaendelea kubisha si msanii wa kimataifa!!
Tuzo za duniani zinamtambua diamond
Diamond kashinda MTV EMA best african act akiwashinda burna boy, Asake , libianca na wote hao ni wasanii wakubwa halafu bado unasema si msanii wa kimataifa? Upo sawa?
Diamond ashashinda artist of the year afrika akiwamwaga chini wizkid, davido, ed kenzo, burna na wengine kibao halafu bado unasema si msanii wa kimataifa!! Upo sawa kweli?
Anashinda vipi tuzo za kimataifa halafu bado unasema si msanii wa kimataifa?
Mkuu upo sawa au unaelewa unachoongea?
unaweza kuthibitisha kapewa na TRACE? Na sio stori zako?best african artist kapewa na TRACE, haina uzito
diamond sio international, sioni umataifa wake kwa kweli
he is very overrated
umataifa wake ni wa kichokozi tu
ana trace ya best EA artistunaweza kuthibitisha kapewa na TRACE? Na sio stori zako?
Diamond kawashinda wasanii wakubwa burna boy, asake, wizkid davido, libanca, flavour,
sasa tuambie wewe trace walimpa vipi na tuonyeshe sehemu trace waliosema tumempa hakustahili?