Hatutaki ubaguzi wa rangi kwenye moira. Pep alimfanyia mizengwe hadi Sterling akaondoka. Yehya Toure na Etoo walishathibitisha jinsi Pep hawapendi wachezaji wamatumbi.Kwani kuna mtu sio mbaguzi?
Kubali Ndoa weweHatutaki ubaguzi wa rangi kwenye moira. Pep alimfanyia mizengwe hadi Sterling akaondoka. Yehya Toure na Etoo walishathibitisha jinsi Pep hawapendi wachezaji wamatumbi.
Kwa ubaguzi wake City imekosa point Tatu za bure kwa kumtoa huyu dogo mswahili Doku mwenye kipaji cha ajabu.
refs pia yuko sahihi kupiga firimbi faulo ya Halaand kwa Grealish. Hata hivyo Grealish alikuwa offside
Hilo neno linakuja automatically baada ya kupiga puff mbili za mwanzo za bange .Mzuka
Sweetie kumbe wewe ni Gunners wabahatishaji?Tulia wewe Arsenal tuendelee kujidhatiti pale juu.
Safari hii hatudondoshi points tena.
Pressure ya Board members mkuu. Pia kuzuga asiitwe mbaguzi.Sasa kama mbaguzi kwanini kamsajili doku?
Mbona sub imezaaa matunda maana Jack kafunga goliMzuka wanajamvi!
Kulikuwa na haja gani ya kumtoa Doku na kumuweka Grealish?
Wakati Doku tumeona kipindi cha kwanza akicheza vizuri?
Pep angemuacha Doku hadi mwisho City ingeshinda na wasingetoka draw na Totten.
Ni kwasababu ya rangi yake tu.
Pep aache ubaguzi bana
MAWEED Herzog mkorea adriz Chaliifrancisco
Senior JF JF accredited local and international sports analyst and correspondent.
Lakini wamekosa 3 pointsMbona sub imezaaa matunda maana Jack kafunga goli
Doku ni mzuri Sana kuliko Jack kwenye ball skills but Hana maaamuzi ya kuisaidia timu...Lakini wamekosa 3 points