Ni lini Guardiola ataacha ubaguzi?

Ni lini Guardiola ataacha ubaguzi?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Kulikuwa na haja gani ya kumtoa Doku na kumuweka Grealish?

Wakati Doku tumeona kipindi cha kwanza akicheza vizuri?

Pep angemuacha Doku hadi mwisho City ingeshinda na wasingetoka draw na Totten.

Ni kwasababu ya rangi yake tu.

Pep aache ubaguzi bana

Senior JF accredited local and international sports analyst and correspondent.

MAWEED Herzog mkorea adriz Chaliifrancisco
 
Mm naona aendelee hvy hvy, cha msingi ni kupata matokeo mazuri
 
Kwani kuna mtu sio mbaguzi?
Hatutaki ubaguzi wa rangi kwenye moira. Pep alimfanyia mizengwe hadi Sterling akaondoka. Yehya Toure na Etoo walishathibitisha jinsi Pep hawapendi wachezaji wamatumbi.

Kwa ubaguzi wake City imekosa point Tatu za bure kwa kumtoa huyu dogo mswahili Doku mwenye kipaji cha ajabu.

refs pia yuko sahihi kupiga firimbi faulo ya Halaand kwa Grealish. Hata hivyo Grealish alikuwa offside
 
Gurdiola anajua muda wake wa kusaka ubingwa bado.

Man city baada ya cristmass ndio utamjua Guardiola, na anawapangaje

Kwa sasa hayupo serious ni kama anawajaribu jaribu sababu muda wa kusaka ubingwa bado.

Mechi za marudiano zinapoanza ndipo man city anakuwa serious na matokeo
 
Hatutaki ubaguzi wa rangi kwenye moira. Pep alimfanyia mizengwe hadi Sterling akaondoka. Yehya Toure na Etoo walishathibitisha jinsi Pep hawapendi wachezaji wamatumbi.

Kwa ubaguzi wake City imekosa point Tatu za bure kwa kumtoa huyu dogo mswahili Doku mwenye kipaji cha ajabu.

refs pia yuko sahihi kupiga firimbi faulo ya Halaand kwa Grealish. Hata hivyo Grealish alikuwa offside
Kubali Ndoa wewe
 
Kwani Grealish hakufunga goli na una ushahidi gani kwamba huyo Doku asingetolewa ndio Man City ingeshinda.

Yaani wewe sijui ni kocha wa timu gani hadi ujue kumshinda Guardiola, na wewe unapomtetea huyo Doku ambaye ana asili ya Afrika (Nigeria) sasa tukueleweje kama sio ubaguzi vilevile.
 
Mzuka wanajamvi!

Kulikuwa na haja gani ya kumtoa Doku na kumuweka Grealish?

Wakati Doku tumeona kipindi cha kwanza akicheza vizuri?

Pep angemuacha Doku hadi mwisho City ingeshinda na wasingetoka draw na Totten.

Ni kwasababu ya rangi yake tu.

Pep aache ubaguzi bana

MAWEED Herzog mkorea adriz Chaliifrancisco

Senior JF JF accredited local and international sports analyst and correspondent.
Mbona sub imezaaa matunda maana Jack kafunga goli
 
Lakini wamekosa 3 points
Doku ni mzuri Sana kuliko Jack kwenye ball skills but Hana maaamuzi ya kuisaidia timu...
Ukitoa game ya Bournemouth sikumbuki ni lini Doku aliisaidia City kwenye assist au kufunga goal...
 
Back
Top Bottom