Ni lini Guardiola ataacha ubaguzi?

Ni lini Guardiola ataacha ubaguzi?

Tulia wewe Arsenal tuendelee kujidhatiti pale juu.
Safari hii hatudondoshi points tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] arsenal ipii? Hii ya Arterta? Lol
 
Mkuu inaonekana ubemebet umeliwa kichwa,,,, Pole, thats football
 
Pep ni kiongozi wa UN au kocha wa Man City ?

By the way kumuweka Bench Muingereza kwa wakati wowote ule ni kuonyesha balls za hali ya Juu (as waingereza wapo highly overrated na kwa kufanya sub ikafunga goli it has shown he did make a good choice

Huyo Toure inaonekana alikuwa na attitude problem kuna kipindi alililalamika kwamba wenzake walimyima keki (Na Pep ni either his way or the Highway; ukileta issue za kudeka you will be shown the door)
 
Mzuka wanajamvi!

Kulikuwa na haja gani ya kumtoa Doku na kumuweka Grealish?

Wakati Doku tumeona kipindi cha kwanza akicheza vizuri?

Pep angemuacha Doku hadi mwisho City ingeshinda na wasingetoka draw na Totten.

Ni kwasababu ya rangi yake tu.

Pep aache ubaguzi bana


Senior JF accredited local and international sports analyst and correspondent.

MAWEED Herzog mkorea adriz Chaliifrancisco
Wewe huna akili
 
Mzuka wanajamvi!

Kulikuwa na haja gani ya kumtoa Doku na kumuweka Grealish?

Wakati Doku tumeona kipindi cha kwanza akicheza vizuri?

Pep angemuacha Doku hadi mwisho City ingeshinda na wasingetoka draw na Totten.

Ni kwasababu ya rangi yake tu.

Pep aache ubaguzi bana


Senior JF accredited local and international sports analyst and correspondent.

MAWEED Herzog mkorea adriz Chaliifrancisco
We Mkaldayo mashabiki wa Grealish nao wanamuona Gadiola mbaguzi kwa kumuanzisha Doku na Grealish kubaki nje.
 
Mkuu hukuangalia mpira duku aliumia na hata wakati anatolewa ilikuwa anachechemea mguuni lakini ni sawa pia kutolewa maana haisaidii team zaidi ya kucheza mpira wake binafsi.
 
Nani asokuwa mbaguzi Duniani???Magufuli mlisema anawajaza wasukuma wenzake,Leo Mama Samia mnasema anajaza Wapemba.Mnasema Bashe sio mtanzania.Mtu akitokea kigoma hamkubali mnasema ni Mburundi.Mo mnasema ni muhindi.Karia mnasema ni msomali halafu ni Simba.
 
Pressure ya Board members mkuu. Pia kuzuga asiitwe mbaguzi.

Mtu wako Halaand leo kulikoni?
Acha ujinga ww hiyo ni sub ya kimbinu na muda mwingine sub zina fail pia. Pep alikua na fikra zake zingine tofauti na ww.

Mara ngap PEP hufanya sub ambazo hata shabiki huelewi kwann kafanya na zinalipa?

Jifunze mpira
 
Watu weusi wengi wenu(Mimi simo kwenye hili kundi) mna matatizo makubwa sana kwenye fikra zenu.

Yaani mnapenda sana kuplay race card kwenye jambo lolote lile lisilowafurahisha na hasa kama jambo Hilo linafanywa na mtu wa race nyingine. Ni binadamu wa ovyo sana nyie na ndio maana hakuna mtu anayewachukulia serious hata kwenye movements zenu kama BLM.

Yes, unaanzaje kuyachukulia serious mamtu ambayo muda wote ni kulia Lia tu eti yanaonewa sababu ya rangi ya ngozi yao?!!

Wewe mwandishi unaposema Pep ni mbaguzi sababu alimfanyia sub Doku, je umejiuliza hata kidogo kama angekuwa hamtaki kwa sababu ya rangi ya ngozi yake angethubutu hata kumsajili?? achilia mbali kumpiga bench mzungu Jack Grealish Tena muingereza na Kisha kumuamini Doku kama regular starter.

Hivi Pep akisema sasa hasajili kabisa wachezaji weusi Kuna mtu wa kumzuia?? Mna la kumfanya?

Na pia unaposema anachukia wachezaji weusi ndio maana rahem akaondoka, hivi kama rahem kuondoka ilikuwa ni sababu ya rangi ya ngozi yake hivi angemtema mtu kama Laporte tena muhispania mwenzake na Kisha kumsajili Emmanuel Akanji mweusi mwenzio?

Halafu mara nyingi watu mnaosema sema eti Pep ni mbaguzi wengi hata mpia hamuujui na mara nyingi Huwa mnamchukia tu Pep sema mnaficha chuki zenu kwenye hizi tuhuma za ubaguzi ambazo hazinaga kichwa Wala miguu
 
Acha ujinga ww hiyo ni sub ya kimbinu na muda mwingine sub zina fail pia. Pep alikua na fikra zake zingine tofauti na ww.

Mara ngap PEP hufanya sub ambazo hata shabiki huelewi kwann kafanya na zinalipa?

Jifunze mpira
Nitajifunza mkuu.

Asante
 
Back
Top Bottom