PreGE2025 Ni lini Halima Mdee atachukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia Chama chake cha CCM?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?

Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.

Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
 
Unajua nyinyi mmejaa sana upumbavu,chuki na husda kama walivyo CCM tu,tofauti yenu ni nyinyi hamna madaraka

ndio maana watu wenye akili zao wanawapuuza na kuwaangalia tu,

Ikiwa hao wamama mlishaachana nao,ya nini kuendelea kuwafuatilia?
 
mkuu jamaa wana choyo na chuki sana
 
Nadhan anataka kupitia Act wazalendo
huko atapigwa tafrani, ni pata potea bora aende ccm kama mwenzake bulaya, huko wana uhakika wa kupitishwa kinamna na kuwaacha hoi wananchama waliokipambania chama chao bila kuhama
 
Huko Bunda mjini mtoto wa Wasira kashachua fomu?
 
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?

Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.

Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Sasa unang'ora, au?!!!
Siasa ni mipango na hiyo ndo Moja ya mipango yenyewe. Mfano wa mipango mingine ni ule upigaji wa tone tone na ukibaraka wa ubelgiji. We kapuku kama hauna mpango wa kisiasa basi endelea kuwashuhia watu nyuzi za mipango yao.
 
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?

Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.

Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Ulikuwa unamaanisha Mzee Halima Mdee?
Kama yule mpenzi wake (Esther Bulaya) kachukua fomu kwa tiketi ya CCM, muda sio mrefu na yeye atachukua tu fomu.
 
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?

Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.

Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Wanapotea milele,hao,
 
Back
Top Bottom