Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Unawashwa Sana na mambo ya CCM, ila wanaccm wakiandika mambo ya chadema unakuwa mkaliMwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Sina hakikaKwani patafanyika uchaguzi?
Sasa awezakuwa naye asubiria Reforms.Sina hakika
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Unajua nyinyi mmejaa sana upumbavu,chuki na husda kama walivyo CCM tu,tofauti yenu ni nyinyi hamna madaraka
ndio maana watu wenye akili zao wanawapuuza na kuwaangalia tu,
Ikiwa hao wamama mlishaachana nao,ya nini kuendelea kuwafuatilia?
huko atapigwa tafrani, ni pata potea bora aende ccm kama mwenzake bulaya, huko wana uhakika wa kupitishwa kinamna na kuwaacha hoi wananchama waliokipambania chama chao bila kuhamaNadhan anataka kupitia Act wazalendo
Acheni kumchafua Mheshimiwa.Halima lazima amfuate mkewe Esta ndani ya wiki hii.
Imeandikwa mume na mke wataambatana pamoja.
Cc: johnthebaptist cocastic Lucas Mwashambwa ChoiceVariable Tlaatlaah chiembe
Sasa unang'ora, au?!!!Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Ulikuwa unamaanisha Mzee Halima Mdee?Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Wanapotea milele,hao,Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje