BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Ila wasitarajie kuwepo Bungeni tena, na huenda ikawa ndio wamestafu ubunge rasimi.Ulikuwa unamaanisha Mzee Halima Mdee?
Kama yule mpenzi wake (Esther Bulaya) kachukua fomu kwa tiketi ya CCM, muda sio mrefu na yeye atachukua tu fomu.
Na wote watapigwa chini kwa 100%.Ametegwa pabaya
Ila covids wote watadumbukia kwenye greens
Sio rahisihuko atapigwa tafrani, ni pata potea bora aende ccm kama mwenzake bulaya, huko wana uhakika wa kupitishwa kinamna na kuwaacha hoi wananchama waliokipambania chama chao bila kuhama
na ndio wanapotea milele kwenye anga za siasa,Na wote watapigwa chini kwa 100%.
CCM ina wenyewe.
Tathmini inaonyesha hakuna Covid atakayerejea tena bungeni, sio mwaka huu tu, ni milele.Ila wasitarajie kuwepo Bungeni tena, na huenda ikawa ndio wamestafu ubunge rasimi.
na iwe hivyoTathmini inaonyesha hakuna Covid atakayerejea tena bungeni, sio mwaka huu tu, ni milele.
Condom hutumika mara moja tu, na kisha kutupwa mbali.
Usilie mambo badoUnajua nyinyi mmejaa sana upumbavu,chuki na husda kama walivyo CCM tu,tofauti yenu ni nyinyi hamna madaraka
ndio maana watu wenye akili zao wanawapuuza na kuwaangalia tu,
Ikiwa hao wamama mlishaachana nao,ya nini kuendelea kuwafuatilia?
Usilie mambo bado
Tulia hivyo hivyo, umewasikia Mashahidi wa Siri?Unazidi kuonyesha jinsi mlivyo WAPUUZI
📌🪒Na wote watapigwa chini kwa 100%.
CCM ina wenyewe.
Acha umbea. Mambo ya ccm na wanaccm yanakuhusu nini? Wanaccm wanapopost mambo ya chadema mnang'aka na kuwaambia mambo ya chadema hayawahusu; sasa wewe unachonga kuhusu mambo ya wanaccm ili iweje?Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Mwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje
Chadema hawaeleweki.Kwani patafanyika uchaguzi?
Huyu chawa ni wa hovyo sana. Sasa anaongelea uchaguzi gani?Acha umbea. Mambo ya ccm na wanaccm yanakuhusu nini? Wanaccm wanapopost mambo ya chadema mnang'aka na kuwaambia mambo ya chadema hayawahusu; sasa wewe unachonga kuhusu mambo ya wanaccm ili iweje?
(Wewe ulikacha maandamano)
Anaongelea uchaguzi (tena wa ndani ya ccm) ambao chama chake kimesusia!Huyu chawa ni wa hovyo sana. Sasa anaongelea uchaguzi gani?
piiiiiiiipozAlisha kunja ngumi, amechoka kunyoosha vidole viwili (V).
Ni jimbo la KAWE kwa chama CHOCHOTE, HALIMA Mdee aje tu kura zake zipo. Hilo hata Askofu FAKE Gwajima analitambuaMwanaccm Mwenzake Easter Bulaya tayari kishachukua fomu Bunda Mjini, Yeye anasubiri nini?
Wengi wanadhani huenda akajitosa Siku ya Jumatatu katika Jimbo ambalo halijawekwa Wazi.
Ngoja tusubiri ili tuone itakuwaje