Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mbona umepigwa ganzi , shida iko wapi ?Kwani hao amekwambia kua hawaendi na kasi ya rais?
Anatabiri RPC wa Dodoma na sera yake ya "kipigo cha Mbwa koko" ataathirika.Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda.
Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali yanayofanywa na Mh Rais , na bila shaka ni mabadiliko yenye tija kwa asilimia kadhaa , japo bado kuna virusi vimesalia ila tunaamini vitaendelea kuteketezwa taratibu.
Swali langu kwako Mkuu ni hili hapa , Lini utafanya mabadiliko ya Makamanda Wakuu wa Mikoa ya Kipolisi (RPCS ) Ili kuongeza ufanisi wa Jeshi lako ?
Huu uzi wa Sirro si wa mamakaka mama hajawasikiliza kwa happi na chalamila,sirro ni nani hata ahangaike na ufipa wa jamiiforums???
kila siku malalamiko tu,atakuwa anapangua watu wangapi???
kaogeni mlale hakuna mabadiriko.Huu uzi wa Sirro si wa mama
Huna akili wewe. Kwa nini Sirro asiondoke?Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda.
Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali yanayofanywa na Mh Rais , na bila shaka ni mabadiliko yenye tija kwa asilimia kadhaa , japo bado kuna virusi vimesalia ila tunaamini vitaendelea kuteketezwa taratibu.
Swali langu kwako Mkuu ni hili hapa , Lini utafanya mabadiliko ya Makamanda Wakuu wa Mikoa ya Kipolisi (RPCS ) Ili kuongeza ufanisi wa Jeshi lako ?
Hawa sio wanasiasa.. impact ktk budget in terms of allowances za kuhamisha afisa mmoja sio ndogo.Naamini Mkuu umenisoma
Tayari ameshaanza, Mambosasa out Kanda maalum anaenda Dodoma kuwa chief of operations; Camillius Wambura anakuja Dar kanda Maalum; Shilla kutoka RPC Mara kwenda kuwa mkuu wa upelelezi Kanda maalum Dar huo ni mwanzo.Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda.