Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Yaaan kwa takwimu nilizofanya SAFARI hii hakuna Kozi ya watu 7000 may be 3000-4000 wanaanz kuja vijana wachache sana unakuta kambi nzima watu 11 kwelii walikochukua wengi kidg ni Mafinga nako 105 yaaan mambo magumu ila Mungu mkubwa Dogo katoboa Kila lakheri wapambanaji
 
Dogo inaonekana ana maelekezo ya kutosha.

Au nyie ni watoto wa 2 star general?.
 
Dogo inaonekana ana maelekezo ya kutosha.

Au nyie ni watoto wa 2 star general?.
Amna kiongoz nimepambana sana kwanzia humu humu kuna watu walishakula hela zangu hawajali cha ww ni mwanajesh au nani ila hatimae safar hii nilimpata mzee mmoja kutokea kyela Uko nikamfuata wa nyumban kabsa ndo Mungu amebless
 
Sio kweri mkuu wanachukua watu elfu saba na ushenzi na mpaka sasa waliotuma maombi kwa watu wa uraiani mpaka ijumaa iliopita ilikua bado hawajaanza sijajua kama wiki hii wameanza na kundi kubwa la watu litachukuliwa toka uraiani ndioaman unaona vikosini wanachukua wachache hii yote nikupunguza watu mtaani..note mwakani uchaguzi mkuu
 
Wakuu Kuna dogo alikuwa anapiga Mujibu wa Sheria Kambi Moja Kanda ya ziwa,this week akatakiwa aende Oljoro.Nilitaka kujua kule ndo anaenda kufanyiwa usaili au ndo ashapita jumla.Na kama wanapiga usaili kwa Hawa waliokuwa Mujibu wanazingatia nn maan ht chet Cha jkt bado Hana maan walikuwa bdo hawajaapa
 
Wakuu Kuna dogo alikuwa anapiga Mujibu wa Sheria Kambi Moja Kanda ya ziwa,this week akatakiwa aende Oljoro.Nilitaka kujua kule ndo anaenda kufanyiwa usaili au ndo ashapita jumla
Huyo kaenda kufanya usaili wa vyeti kwajiri ya military science na kuacha namba ya simu hao kozi yao hua january
 
Kama hauna cheti Cha Jax kwenye usahili unaweza wekwa pembeni kama hauna mbanga ila pia Mungu yupo unaweza penya tu ile ni kozi nyingne kabisa tofauti na Jkt mambo yanaanz na moja
Kwakua jina lako litakua tayari lipo RTS na limetoka makao makuu ya jeshi relax wao wanatadili na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa basi bila kusahau vipimo kujua kama umewaka😂
 
Mtaani ndo kuwe na kundi Kubwa ngoja tusubiri ila mimi nakwambia ni Msata rts 3000 na oljoro watakatwa bogi kutoka msata watakuwa 1000 tu hakuna elfu saba apa nimekaa pale
 
Kwakua jina lako litakua tayari lipo RTS na limetoka makao makuu ya jeshi relax wao wanatadili na vyeti vyako vya taaluma na kuzaliwa basi bila kusahau vipimo kujua kama umewaka😂
Hii ni sahihi tu cha kwanza jina likienda kule ata kama hauna Jax hawatadili tena watahisi wew ni mtoto wa mzito hii kwelii
 
Ivi kutakua na muda wa kupitia barua zote au ni kufarijiana tu
 
Ivi kutakua na muda wa kupitia barua zote au ni kufarijiana tu
Barua zote inawezekana kupitia kama kozi itachelewa kama inawahi watapitia tu namba za simu nje basi na kupigia watu then ukifika Kule Rts ndo mchujo utaanza..

Note: Kutoitwa kusiwakatishe tamaa wapambanaji kuna inshu nying za kufanya nzuri kuliko ata Jesh ivo basi Tumshukuru Mungu kwa chchte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…