Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kwisha habari😂Mbanga niliyokuwa naitegemea inasaidie kupenyeza mtu huko Jw Leo imeniona ikaanza kulia [emoji41]
Umepigiwa leo boss au?Nafasi ni 3000 tu. N mpaka sasa hiv kuna watu 2700 huko msata.
JanaUmepigiwa leo boss au?
Ulikuwa na mbanga kakaaJana
Mbanga mungu tuUlikuwa na mbanga kakaa
Asee hongera sanaMbanga mungu tu
Kwahiyo safari ya Zanzibar umeiacha tayari mkuu?Jana
YahKwahiyo safari ya Zanzibar umeiacha tayari mkuu?
Msata au makutupora?
Hiyo mbanga kalagabaho nongwa niliwahi kuipa jina hapa nikaiitwa "LIMUBUYU JIMBANGA"Ile Mbanga baada ya kulia mwisho ikasema mwambie binti asogee makutu kabla ya tarehe 15
Mbanga ya pili wenyewe imeniambia muache kwanza binti akute wenzake wamesota kidogo (imesema itajumlisha jina lake from watu special)
Hao watu special ni kati ya wale wenzetu wa 21% sasa inaonekana kuna watu wamepata connection kutoka kwa Mbanga isiyopigwa (elewa Mbanga isiyopigwa) look like vijana kutoka mitaa ya Mbanga isiyopigwa wamepewa nafasi 50
3000 TUU? mbona balaa Mkunda angechezesha bogi lingineNafasi ni 3000 tu. N mpaka sasa hiv kuna watu 2700 huko msata.
Watu 3000 tu. Wakizidi 3500 hawafiki 4000 mzee. Na vikosin bado wanachukuliwa mpaka leo3000 TUU? mbona balaa Mkunda angechezesha bogi lingine