Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Kuna jamaa nimemskia kwa maskio yangu akiongea na mbanga wake kanali na akamwambia kua kuna uwezekano wa kuwepo kwa bogi la orjolo hivyo ameambiwa atulie asubir
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hii ni maajaBu...
 
Sema madogo wa humu mna moyo aiseeeeh! Hamchoki tu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…