Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Mtu kama huyu akiingia koz haezi akafungua moyo ataona kama anateswa lkn mtu anaekubali jeshi lazma atafungua moyo na koz inakua simple kwake 7bu ya moraliUhakika upendi jeshi na unataka hela nenda bank sasa au fany harakat zinazokuingizia pesa achana na jeshi huu ni wito na muitikio wa mtu binafsi
LiveeeeeeeMtu kama huyu akiingia koz haezi akafungua moyo ataona kama anateswa lkn mtu anaekubali jeshi lazma atafungua moyo na koz inakua simple kwake 7bu ya morali
Hapo sna uhakika mkuuVp ukipata mbanga iliyopo RTS penyewe au napo bado chehe
Awe Kanali Sijaona Myala 😃Vp ukipata mbanga iliyopo RTS penyewe au napo bado chenga??
Ukipata mtu yupo ofisi ya CP ndo shega 7bu ndo jikoni huko🤣
RTS yanaenda majina ambayo yashaandikwa…Vp ukipata mbanga iliyopo RTS penyewe au napo bado chenga??
Na ajue hata usahili pale RTS unaenda kufanywa na watu kutoka makao. Wao RTS kazi yao mafunzo tu.RTS yanaenda majina ambayo yashaandikwa…
Labda uwe na mkubwa, na huyo awe na watu makao …
Kwa maana hiyo basi, RTS ni sawa uwe na mtu KAMEMBWA JKT..
Hakuna maajabu 😀
Wape watu ukweli, USIBAKI NAO kama unaujua 😀Kuna matango poli watu wanabebeneshwa hapa😂😂😂
KANEMBWA kambi ngumu sana hii naskia🤣🤣RTS yanaenda majina ambayo yashaandikwa…
Labda uwe na mkubwa, na huyo awe na watu makao …
Kwa maana hiyo basi, RTS ni sawa uwe na mtu KAMEMBWA JKT..
Hakuna maajabu 😀
CHIEF OF PERSONEL yani ndo muajiri huyo kazi ya kuandaa mkeka inafanyika ofisin kwake.Cp ni nini?Ni wapi?
Hapa mmeniacha
Hivi Ushawai pita hata jkt mujibu mkuu maan hujui kila kitu🤣🤣🤣Cp ni nini?Ni wapi?
Hapa mmeniacha
😂😂😂Hivi Ushawai pita hata jkt mujibu mkuu maan hujui kila kitu🤣🤣🤣
Lkn c umeshajua maana ya CP
Bahati nzuri hayo unayosema hata sijasimuliwa, nimepita huko mwenyewe..KANEMBWA kambi ngumu sana hii naskia🤣🤣
Kuna Bulombora piaBahati nzuri hayo unayosema hata sijasimuliwa, nimepita huko mwenyewe..
Depo la 2016 😅😅
Refa ndo kapatikana mkuuUlikua wap kupiganisha mapema wenzako wa shahada na astashahada nadhan wametoka tayr poli sasa bado kuapa hapo RTS.....
Na hao ndio wakitoka raia wataanza kuitwa nadhan hivo
Ila ukishaenda saivi si ndo tayari?Ni sawa ila mpaka ubahatike kwenye sahili zao watazofany kama n huko rts au vikosn japo kuna umri ukiwa umefika ni ngum kwenda mfn nina mshkaj wang n degree holder ila mpk sasa n Pte wenzake wameula mwaka jana Tma so bahati pia ikiwa upande wako...