Swardolf102
JF-Expert Member
- Apr 6, 2024
- 295
- 320
Mtu kama huyu akiingia koz haezi akafungua moyo ataona kama anateswa lkn mtu anaekubali jeshi lazma atafungua moyo na koz inakua simple kwake 7bu ya moraliUhakika upendi jeshi na unataka hela nenda bank sasa au fany harakat zinazokuingizia pesa achana na jeshi huu ni wito na muitikio wa mtu binafsi