Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Hivi stori za watu wakiingia huko wanatoroka/kukimbia?
sababu hasa huwa ni zipi kwasab wengn wanazihitaji hizo nafas kwa udi na uvumba.
 
Mzee vipi umeangalia ITV leo maana ulikuwa unasema watu washaapa
 
Attachments

  • 6dd622e6-3f73-4137-94cc-169695b1338a.jpeg
    37.6 KB · Views: 15
Next week OP Mabeyo wanaanza kuripoti. Wa mtaani omba na sali sana sababu kimaelekezo hakujawahi kuwa na intake ngumu kuchomeka mtu kama hii.
Mkuu vp tulotuma maombi kupitia email wanasemaaje upande huo
 
Ila bro unajua sisi tunazililia hizi nafasi Ila wapo ambao upelekwa kwa shinikizo la familia na koo walizotoka so hatufanani....hata ufunguaji wa moyo ni tofauti hapo we unafny kitu unapenda so utakua radhi kuenyeka ila kama umeshinikizwa lazma hata rohon utakua na mkinzano mwili unataka moyo hautaki🙌
 
Nakazia
 
Ni sawa kama walikua hawajaapa bado but trust me hii wiki walikua wanamwagwa pass hata jana walikua mtaa pia ndio nilichoshtuka maana Kuna mkufunzi aliniambia washamaliza so nilipoona wapo mtaani nlijua hadi kihapo ilkua tayr kumbe nope
 
Walimwagwa labda kwaajili ya mahitaj yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…