Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mwezi wa 9, mara utasikia muda huu JKT ndo wameanza kozi, labda mwezi wa 11..

Mara, oya kozi mwezi wa 2 πŸ˜…β€¦

Mamamamaamaeee… haya mambo haya πŸ˜…
 
Mwezi wa 9, mara utasikia muda huu JKT ndo wameanza kozi, labda mwezi wa 11..

Mara, oya kozi mwezi wa 2 πŸ˜…β€¦

Mamamamaamaeee… haya mambo haya πŸ˜…
Weacha tu ndugu Kuna wengine tangia mwakajana mwezi wa 3 kmmke tunapigwa kalenda tu mpaka leo hii. Bora tu kushika mambo mengine kmmke maisha sio huko tu.
 
Weacha tu ndugu Kuna wengine tangia mwakajana mwezi wa 3 kmmke tunapigwa kalenda tu mpaka leo hii. Bora tu kushika mambo mengine kmmke maisha sio huko tu.
Yaaan niwaambie ukweli ronja ni wa 9 kozi haifahamiki itaanza lini?? Ila kuitwa wa 9
 
Humu jau hamna anaejua chchte wote tunabaatisha tu. Ndo maana tangia mwakajana tunapeana kalenda tu lkn hamna ambae katoa lonja kuhusu kozi alaf ikawa kweli. Tuache tu kuumiza vichwa wao wenyew ndo wanajua ni lini wataita watu😎
 
Weacha tu ndugu Kuna wengine tangia mwakajana mwezi wa 3 kmmke tunapigwa kalenda tu mpaka leo hii. Bora tu kushika mambo mengine kmmke maisha sio huko tu.
Endelea na life tu
Mimi binafsi nakaa kama hayo mambo hayapo kabisa
Ikitokea fresh isipotokea pia bomba
 
Niliwahi kusema humu, kama hatopiga aziwea kama kawaida yao, basi kozi ni mwezi wa 8…

Tatizo la mTiPiDii AZIWEA ni nyingi sanaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…