Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Jmn naombeni sana niwaaminishe kuwa tangazo ni la kweli nililipata kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika jana saa sita kasoro usiku.
Kwa kuongezea ni kwamba waliopo jkt barua hii wamesomewa leo asbh na wameambiwa kwa kuwa wao walishafanya uhakiki zitaanza kusomwa message na watu wataanza kwenda RTS kwa message.
By Zafrain sag.
Ata mimi wa Jax wameniambia ivo leo mapema walivokuwa Foleni
 
Jmn naombeni sana niwaaminishe kuwa tangazo ni la kweli nililipata kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika jana saa sita kasoro usiku.
Kwa kuongezea ni kwamba waliopo jkt barua hii wamesomewa leo asbh na wameambiwa kwa kuwa wao walishafanya uhakiki zitaanza kusomwa message na watu wataanza kwenda RTS kwa message.
By Zafrain sag.
Mkuu samahani ivi apo na medical form ni lazima nayo tuiattach?
 
Yaani hata picha hamuoni jamani chapisho gani chafu ivyo halina mpangilio wa barua au tangazo..mbona la polisi mlisoma vizuri bila haya mashaka.
Unajua nini chief mtaani watu tushapigika sana alaf kwa lonjalonja zilizotembea humu watu tunaona bora tujarib tu hatuwezi jua je kama ni kweli alaf tarehe za tangazo zikawa mwishon au changamoto yoyote ikatokea ya mtandao unahisi tutajisikiaje,

Hata watu wa dini wanasema ni bora uamini Mungu yupo ata ukienda uko husipomtuka afadhali kuliko, kudharau alafu umkute
 
Kalaga baho, unaendekeza sana nongwa
Kila la kher kwa wote
Naungana na Ramson97....msikose wapiganaji. HAKUNA MATATA.
 
Back
Top Bottom