Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ata mimi wa Jax wameniambia ivo leo mapema walivokuwa Foleni
 
Mkuu samahani ivi apo na medical form ni lazima nayo tuiattach?
 
Yaani hata picha hamuoni jamani chapisho gani chafu ivyo halina mpangilio wa barua au tangazo..mbona la polisi mlisoma vizuri bila haya mashaka.
Unajua nini chief mtaani watu tushapigika sana alaf kwa lonjalonja zilizotembea humu watu tunaona bora tujarib tu hatuwezi jua je kama ni kweli alaf tarehe za tangazo zikawa mwishon au changamoto yoyote ikatokea ya mtandao unahisi tutajisikiaje,

Hata watu wa dini wanasema ni bora uamini Mungu yupo ata ukienda uko husipomtuka afadhali kuliko, kudharau alafu umkute
 
Kalaga baho, unaendekeza sana nongwa
Kila la kher kwa wote
Naungana na Ramson97....msikose wapiganaji. HAKUNA MATATA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…