Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Jamani ushauri wa Bure naona kulikuwa na ubishani mkubwa kuwa ni ya kweli au uongo ila sasa ni ivi mtu mmoja aandike barua apeleke kwa mkono ofisini tutapata majibu
 
Kama tangazo hata kwenye website yao halipo basi linatia shaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…