Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ukiona mtu kavaa ujue kaenyeka na kila cheo ukitaka ukipate lazima uenyek hakuna kozi ngumu kama ya ukoplo na uafsaaiseee ama kweli Kitenge sio Batiki
It depand unaweza unganisha ila kutoboa kuwa afisa kipengele kingineKwa walioombea form 6 wanachukua muda gani mpaka kwenda kozi ya uafisa?
Kwahiyo kama una mbanga ambayo ipo hapo hap kihangahiko kutoboa ni uhakika hata bila kutuma mi barua yao au sio?We acha tu yaan pale kihangaiko ndio mwisho kama mmbanga wako hana maji unatoka kweupeee kuna bog la baba kanituma kabla kozi kuanza mtajione wenyewe
Nondo za kutosha😂Kumechangamka Leo😀
Inategemeana na cheo chake na usha ushawishi wakeKwahiyo kama una mbanga ambayo ipo hapo hap kihangahiko kutoboa ni uhakika hata bila kutuma mi barua yao au sio?
Cheo kwanzia rank gan 2anzishe mapambano😂Inategemeana na cheo chake na usha ushawishi wake
Awe mkuu wa kikos au os na au kianzia meja uko ila sana sana it depend na ushawish alio naoCheo kwanzia rank gan 2anzishe mapambano😂
Kozi ya kwanza kwa ugumu ni Comandoo inafuatia afisa cadeti.Ukiona mtu kavaa ujue kaenyeka na kila cheo ukitaka ukipate lazima uenyek hakuna kozi ngumu kama ya ukoplo na uafsa
Its trueeKozi ya kwanza kwa ugumu ni Comandoo inafuatia afisa cadeti.
Kule ndio kuna section ya bakora ile hapanaaaaaKozi ya kwanza kwa ugumu ni Comandoo inafuatia afisa cadeti.
Afisa cadet ndio nyota moja kuendelea?Kozi ya kwanza kwa ugumu ni Comandoo inafuatia afisa cadeti.
Kivipi yaanIt depand unaweza unganisha ila kutoboa kuwa afisa kipengele kingine
Siku hizi form six kwenda TMA ni ngumu sababu huchukuliwa wale wa BMS. Kutokea vikosini wanaoenda TMA mara nyingi ni kuanzia degree kwa siku hizi na muhimu uwe na mbanga pia maana maprivate wenye degree vikosini wapo wa kutosha tu.Kwa walioombea form 6 wanachukua muda gani mpaka kwenda kozi ya uafisa?
asante sana umepiga penyewe me nina mwanangu n private na n degree holder...ila kuingia TMA n kasheshe sema anabak kula P.A tuSiku hizi form six kwenda TMA ni ngumu sababu huchukuliwa wale wa BMS. Kutokea vikosini wanaoenda TMA mara nyingi ni kuanzia degree kwa siku hizi na muhimu uwe na mbanga pia maana maprivate wenye degree vikosini wapo wa kutosha tu.
Huo mwez wa tisa wa koz iwe hata tareh moja dadeqii😄Wakuu shusheniii vituuu m nishaambiwa nijiandae koz mwez wa tisa
Uhakika CDO koz miez 18 mwaka 1 na miez 6....sio mchezo na mkesha wake wiki8 mwendo wa kujila tu aseee🔥🙌Kozi ya kwanza kwa ugumu ni Comandoo inafuatia afisa cadeti.