Uncle Reem
Senior Member
- May 14, 2023
- 115
- 210
Hili bogi hadi Kichuya atakuepo ndani, sasa we jiulize Kichuya ana umri gani ,jamaa kipindi anawika Simba Sc mie nipo form 5 huko ila Juzikati nimeona amemaliza kozi JKT.Miaka watu wan
Achekecha mkuu kuna watu wanasema wao darasa la saba ila ukiwaona unakataa