Padone EPM
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 604
- 882
Kama saizi mbanga Wanapambana kinoma nafasi ni nyingi sana ila Hazitoshi 🤣🤣 kila lakheri wapambanajiDah! Maisha bwana, zamani hizi kazi zilikua zinakimbiwa kabisa, ila saivi ni dili hatari, yaani mbanga zinapigana vikumbo kuweka watu wao. Marehemu babu yangu alikuaga mjeshi alitaka kuwapush watoto wake wa kiume waingie huko,walitoroka hom wiki mbili, walivorudi akatemana nao ,saivi wakinisimuliaga huwa wanajilaani sana,wanasingizia ulikua ni utoto. wanakwambia enzi hizo kigezo ni Ujue Kusoma na Kuandika tu.