Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Amna Mkuu ni Ronja tu naona majanja wanataka Doso kwa nguvu... Tuwaache wataona wenyew afu ukiwa na mbanga usiwaze ata 33years utaingia Lakn tifu litakukimbiza lenyewe
Waniue tu! Siku hizi nakula ugali wa dona/ulezi miksa ya togwa na matunda ya kutosha. Hizo nguzo za umeme ziniue tu mitaa ishakuwa jau hii
 
Waniue tu! Siku hizi nakula ugali wa dona/ulezi miksa ya togwa na matunda ya kutosha. Hizo nguzo za umeme ziniue tu mitaa ishakuwa jau hii
Hahaha mwaka .... Tulikuwa sehm fulani walijitokeza kama wew mimi nitafia apa apa within 1week watu walikuwa wanaanguka kama kifafa akat walikuja n mbwembwe kibao wanatembea adi juu ya kamba 🤣🤣
 
Back
Top Bottom