Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mmh muongo
BMS wanafanya/Wameshfanya usaili, Vikosini wametangaziwa kuaniza J3 ya Jana vikosini USAILI vijana waliojenga Ikulu ninaofahamiana nao baadhi wamepgiwa simu kuna details wamechukua hizi ni Ronja tu Mkuu
 
ilore mkuuh kuna lolote kuhusu bogi au tusubiri rts wamalize kozi mwez wa kumi na mbili+?
 
Back
Top Bottom