Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Mkuuh ilole umetuacha njia panda kuhusu izo nafasi ni za ndani au watatoa tangazo?
 
polisi wanachukua hadi umri gani?
18_25 kwa kidato cha 4&6 Pia huwa wanaweka limit ya mwaka ukiohitimu wanaweza sema uliemaliza kidato cha 4 miaka mitatu nyuma kwa shahada usizidi 30
 
hahah bado siku chache nifike 30 sina changu huko tena
 
CHuo akina watu sahv na Bajet hii Polisi wametengewa Watu 6000+ nafikiri ndio jeshi litakaloajiri watu wengi sana nafasi unayo champ
 
Back
Top Bottom