EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 4,043
- 7,296
wanatoa lini maombiCHuo akina watu sahv na Bajet hii Polisi wametengewa Watu 6000+ nafikiri ndio jeshi litakaloajiri watu wengi sana nafasi unayo champ
wanatoa lini maombiCHuo akina watu sahv na Bajet hii Polisi wametengewa Watu 6000+ nafikiri ndio jeshi litakaloajiri watu wengi sana nafasi unayo champ
Wanachukua wa mtaaniKuna Bogi la September linakuja kuanza na BMS usaili
Zimebakia siku 11 tu september iendeKuna Bogi la September linakuja kuanza na BMS usaili
Kuna Bogi linakuja ila mtaan sijuikama wataZimebakia siku 11 tu september iende
Ni kweliZimebakia siku 11 tu september iende
Sina uhakika ila lipo MzeeWanachukua wa mtaani
Tarehe 1 kesho mkuu!Kuna Bogi linakuja ila mtaan sijuikama wata
Ni kweli
Hakuna bogi lingine mwaka huuTarehe 1 kesho mkuu!
Case closed!Hakuna bogi lingine mwaka huu
Kuitwa kwenda wapii!??Naskia watu washaanza kuitwa
Rumours zinasema hivo, ngoja tusubiri jumatatu ikifika.Hiyo j3 usaili vikosini kweli au imekaaje wazee
Bogi la oljoroKuitwa kwenda wapii!??
J3 imefika wazee vipi uko vikosin wameshaanza usaili au?
Kama.haupo ndani ya KJ mkuu kuvaa Baka uwe na maelekezo makali sana sanaJ3 imefika wazee vipi uko vikosin wameshaanza usaili au??
Mmh muongoKuna Bogi la September linakuja kuanza na BMS usaili