Msolid extra
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 274
- 195
Si ndioo😀Anataka tulie , kumbe ni mwaka wa 6 huu zinapita shaaa
Si ndioo😀Anataka tulie , kumbe ni mwaka wa 6 huu zinapita shaaa
Imefunguliwa jana... sasa wako zero week 🚶Daah sio poa kozi ishaanza au sio😀😀
siku nyingine utafanya tunyimwe lonjaUlikuwepo😀😀
Achana nae huyo atakuwa ana stress..siku nyingine utafanya tunyimwe lonja
Mtupie taulo huyo mkuu.Achana nae huyo atakuwa ana stress..
Sometimes ukimya ni jibu.
Polisi wanaachia ndani ya mwezi huu wa sabaMtupie taulo huyo mkuu.
Vip vyombo vingine?
SawaaDaah bro usimind sometimes lazma tuwe na matani mambo yaend kiongoz
Hamnaga hicho kitu.. sababu kamati ya uhakiki nida,afya,vyeti n.k washaa ondoka rts labda uwe na maelekezo maalumu kutoka kwa watu maalumu. 1.08%Ila naskia unfit walitolewa alhamis Kuna kuwaga na replacement
Hawa nikikosa na mwaka huu basi nina MkosiiPolisi wanaachia ndani ya mwezi huu wa saba
Saf sana hii spirit ndio inahitajikaHawa nikikosa na mwaka huu basi nina Mkosii
Vp hii waliitwa kwelKundi la kwanza ni watu wenye elimu ya secondary.............. la pili wataitwa
Wenye Degree .....so mkae rada
Hawa nikikosa na mwaka huu basi nina Mkosii
🤝🏻Bila kuchoka mkuu
Niko nyuma yako mkuu tutakutana ccp inshallahHawa nikikosa na mwaka huu basi nina Mkosii
Inshallah mzee wanguu🤲🤲Niko nyuma yako mkuu tutakutana ccp inshallah
Im fine mkuu vipi weweJadda nimekumiss sana mama, How are you?