pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,296
- 1,748
Yeah ni sahihiHta mie nilimwambia manake 27 bado sanaa na kule hua wanachukua mpka 30 kwa wenye elimu ya juu
Yeah ni sahihiHta mie nilimwambia manake 27 bado sanaa na kule hua wanachukua mpka 30 kwa wenye elimu ya juu
Bajeti ya WMN 2026/2027 inaenda kuajiri PT wengi sana kwa mara moja Pengine kuliko awamu yoyote ile wale jamaa kumaliza 5000+ kwasasa imekuwa kawaida kuongeza hostels pale TPS ni isahara kuwa mengi mazuri yanakuja PT 6000+ wametengewa Bajeti ya kuajiriwaYeah ni sahihi
Umejuaje ndio wao walikupigia Mkuu!?Jamani naomba kuuliza hivi ikitokea umepigiwa simu kwa ajili ya usaili wa JW lakin haukupokea simu au walipiga lakini haukupatikana inakuwa ndio basi tena au ukienda jina lako linaweza kuwepo kwenye list? Na kama ulipigiwa wiki mbili zilizopita unaweza kwenda sasahivi na ukapokelewa??
Mhhh hapo sasaJamani naomba kuuliza hivi ikitokea umepigiwa simu kwa ajili ya usaili wa JW lakin haukupokea simu au walipiga lakini haukupatikana inakuwa ndio basi tena au ukienda jina lako linaweza kuwepo kwenye list? Na kama ulipigiwa wiki mbili zilizopita unaweza kwenda sasahivi na ukapokelewa??
BMS toka lini wakachukua mtaanii!??Wazee wa kazi naona vijana wa BMS Wanaapa hivi karibuni. Vp tangazo la mwaka huu walihitajika walioko makambini??? Watu wanasubiri sana mtaani hatukati tamaa
Jadda nimekumiss sana mama, How are you?Mmhh kwenye kozi za ukomando sidhani kama zimeingia haki za binadamu
Umri umeenda nafasi hatupatiPadone EPM huu uzi unaupita tu siku hizi mkuu.
Hujanielewa mkuu main point ni tulioomba baada ya tangazo ndo ishaisha hivyo? Au tuendelee kujipa moyo??BMS toka lini wakachukua mtaanii!??
HayaZoezi la usaili limefungwa rasmi rts msata kwaiyo simu hazito ita tena.
Wanasubir kusomewa unfit kozi ianze rasmi.
Imeshaanza au badoZoezi la usaili limefungwa rasmi rts msata kwaiyo simu hazito ita tena.
Wanasubir kusomewa unfit kozi ianze rasmi.
Ndo habari iliyopo sasa sijui ni kweli? Tungepata lonja ya uhakika tukafocus na mambo mngnNiliskia wa mtaan bado wapo wa makambini tu nasubir mtu aliyepo huko anipe details za uhakik
Wameamua kufanya issue ZingineUzi umepungua lonja vijana wengi inaonekana walizama Vyomboni.
Kama haujaitwa mpaka leo subilia mwakan tu kwa huu mwaka ndio bye byeNdo habari iliyopo sasa sijui ni kweli? Tungepata lonja ya uhakika tukafocus na mambo mngn
Kama haujaitwa mpaka leo subilia mwakan tu kwa huu mwaka ndio bye bye