Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Yeah mkuu..
Dunia uwanja wa mateso, the way unavyoitaka nafasi ndivyo hivyo hivyo mwingine anaitaka pia... so hatuna haki kuliko wengine ila anaepata basi apate mambo ya songe..Huu mwaka nafunga rasmi kwenye akili yangu kuwa sikuumbiwa kuja kuwa mtumishi wa serikali.
 
Ni ngumu lakini ndo ukweli
 
Una umri ganii mzee!??
 
Oi wazee kwa ambae yupo dsm kuna sherehe moja ivi inafanyika maeneo ya kunduchi jmos ijayo ni sherehe ya wakubwa frani hivi me ninakadi 2. Kwa ambae ana confidence nikamlengeshe kwa mzee frani hivi yupo chomboni naheshimiana nae hana noma. Kikubwa confidence yako jinsi ya kujieleza. Mzee hana noma anamalizia malizia miaka yake ya kustaff. Note; sio kwa bogi ili ni kutengeneza mazingira. Mtu mwenye mteru usijaribu kunicheck. Cost ni muda wako tu. Kama unasubili nafasi zitangazwe ndio usumbue watu 👍.
 
Haya vijana kazi kwenu, njia hii hapa.
 
Back
Top Bottom