Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Niliskia wa mtaan bado wapo wa makambini tu nasubir mtu aliyepo huko anipe details za uhakik
Wa mtaani, wa makambini wote walikuwa rts, na leo hii wame somewa majina unfit wametolewa na tarehe 29/6 kozi inafunguliwa rasmi. Kama hujapigiwa simu jaribu wakati mwingine zikitoka.
 
Mnataka kuona kambini kupoje au mnataka kutishia watu na uniform zetu

Hivi nyie ni watanzania kweli..?

"Kuna watu watarudi kwenye majeneza "

Tunaweza kuwavunja vunja mkatoka hapa vilema na msifanye kitu

Kama unajua umekuja kuuza bado unanafasi ya kutoroka japo hutafanikwa

Haya kuliaaa mwisho uelekeo kwenye mabio 🤬🤬🤬🤬🤬🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Watupie taulo Koplo .
 
Back
Top Bottom