Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ila sasa hivi majeshi yote kozi scale zake zimepunguzwa yani mtu aliyepiga kozi 2010 na aliyepiga kozi 202+ ni watu wawili kwenye kozi zao huyo wa kitambo kala mzigo sana.

*Mfano PT siku unaingia mpaka unamaliza kozi ilikuwa ni viboko mwanzo mwisho

*JW zikiisha six weeks tu mzee ushamaliza kozi na kuna matifu baadhi yametolewa ni marufuku kwa kuruta.

Inshort haki za kibinadamu zimeingia majeshini kwa hiyo wanajitahidi kubalika kulingana na vizazi nyenyewe jinsi vilivyo ila yote na yote ugumu upo kwakweli
Mmhh kwenye kozi za ukomando sidhani kama zimeingia haki za binadamu
 
Mkuu kote scale zimepungua, ukibahatika kukaa nao watakuambia kuwa sio kama zamani! Mimi hao jamaa nilibahatika kupiga nao stori walikuwa wanaelekea 830KJ kwa ajili ya mazoezi na wakasema kabisa kuwa sio kama zamani!

Ila sasa nakwambia hiyo kozi yao ndo kozi ngumu kuliko zote lakini majamaa walinambia kuwa kawaida tu
 
Standard zinabaki pale pale hasa kwa elite special force hakuna kinachobadirika isipokuwa kuna maboresho katika mazingira ambayo yanakuwa affected na technology. Jeshi sasa hivi sio nguvu sana, maana unaweza bondwa na mwenzako yupo chumbani kwake
 
Mkuu kote scale zimepungua, ukibahatika kukaa nao watakuambia kuwa sio kama zamani! Mimi hao jamaa nilibahatika kupiga nao stori walikuwa wanaelekea 830KJ kwa ajili ya mazoezi na wakasema kabisa kuwa sio kama zamani!

Ila sasa nakwambia hiyo kozi yao ndo kozi ngumu kuliko zote lakini majamaa walinambia kuwa kawaida tu
Waga miaka mingapi wana Six weeks pia!
 
Sema hizi ajira hasa za majeshi zama hizi zimekuwa ngumu mno hasa kwa Tz Bara!

Wazanzibar kuingia JKT huwa wanakuja wasiopungua 500 yani hawa wanafanya usaili huko baada ya hapo wanapangiwa vikosi vya JKT bongo kwa kozi sasa hawa jamaa hata waje idadi yao sijui ngapi huwa wanachukuliwa kama walivyo yani habaki mtu pia kuna kibogi kingine kinakuja kutoka Zenji(JKU) yani hawa ni tofauti na JKT huku bongo ila hawa huwa hawana idadi maalumu sasa hapo niambie kwa mgawanyo huu ni sawa maana ajira zenyewe buku3 na sijui huku bongo tuko zaidi milioni 50 wakati visiwani hawafiki hata millioni 10

Ndo maana mnapambana sana wakuu, sema msikate tamaa
 
Daaah ndo maisha
 
Kama haupo kambini huns Mbaga ya Maana, na sifa unazo wewe pambana uende PT huko naona ni Rahisi kidogo ile kitenge hadi ukivae umekaza sana
 
Back
Top Bottom