Ngadu07
Member
- Sep 12, 2024
- 49
- 55
Simu bado kijana ila kuna madogo wapo 834 tangu ijumaa iliyopita naskia wapo angani tu wanalobulobu na mesi . Cjajua ni wa bogi au kuna mambo mengine wamefata maana naskia wapo kiraia tu mda wote. According. Me sipo 834 ni taalifa kama mnavyanzo vya kufatilia jaribuni kuuliza wanafanya nini coz ni more than 50 peoplesWakuu simu zimeanza kuita kwa watu wa mtaani au bado mtupe lonja..