Nakukubali sana mwanangu naamin ipo sikuntutaingia chomboni kaka tuendelee kupambanaNdo mm mkuu account yangu ilipata changamoto
Nakukubali sana mwanangu naamin ipo sikuntutaingia chomboni kaka tuendelee kupambanaNdo mm mkuu account yangu ilipata changamoto
Ukweli mchungu ni kwamba hata simu watu zikiita hawasemi sababu wanaogopa hawana uhakika uko waendalo km kunakutobowa ndomana wanavinga tuWakuu vipi simu tayari
Ila hadi mtu ana vaa Kitenge, ni kapambana alooooh!Kule hata uliwa na bawasiri hapakufai maana utauguza vidonda kila siku.
NDio maana bogi la TPDF linaitwa la masela. Kule hamba kufoleni uwanja wa damu hata na Tshirt yaani ni kifua wazi mgongo wazi,, fimbo zinabebwa na evehicle.
Kwa kweli, ni bahati iwe upande wa watoto wa kimaskini. DaahTatizo kubwa ni pesa hatuna, ndomana sisi watoto wa kimasikini tunashindwa kulamba hii asali ya taifa tunaishia kuzurura tu mtaani
Duuh Polee sanaa, ila usikate tamaa, ipo siku nawee utakua ndani ya chombo.Yeah nafasi yangu naona iliuzwa jamaa alikubali kunisaidia ila dakika za mwisho naona alichagua pesa kuliko utu, ungekuta nimemaliza kozi ccp mwaka jana mwezi wa11.
Duuh nani huyo kakula 3M yako na hakukusaidia? Watu wabaya sanaa.Mwaka jana tpdf nmeweka 3M nikakosa,,hio 5M ndo nataka niitenge hivi sasa kwa PT Mkuu kama una mtu huko Polisi naomba tafuu
Wekeza PT pale ni uhakika hakuna mambo mingii. Una baruzaaa.Haki ya MUNGU vile kwa sasa nataka nijiwekeze PT tuu niweke hela niende aisee maisha ya mtaa sio poaa
Fa mchezo nini? Watu wananunua nafasii, hata hizi interview za ajira portal.Duuh kweli pesa sabuni ya roho na umaskini ni mbaya ….umenikumbusha mwaka juzi wakat nipo kweny usaili wa polisi Dodoma siku moja kabla hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, mida ya saa4 usiku kuna binti alinitafuta akaniambia kuna nafas moja ya form6 inauzwa million2 na uyo mtu anatakiwa apatikane kabla ya kesho yake hatujaenda kwa mkuu wa mkoa, duuh nikabak kushangaa yani usaili haujaisha kumbe huku nafasi zinauzwaa na zinakwisha!
JW ni mwisho wa kila kitu, kulee hakuguswiii jamanii, ni pagumuu bhana wee.Hakuna kozi ya kijeshi yoyote ambayo ni rahisi ila ugumu ni wewe ambavyo unaichukulia! Ila kwa Zimamoto na Uhamiaji tunaweza sema kuna urahisi ila hawa watoto hawa watatu JW, PT na MT noma sana kwa JU sijajua lakini kuna mzigo pia
Zimu zinaitaa kuanzia Leo hadi Ijumaa, kuweni wapolee, siku bado zipo mbona.Mkuu update
Kwanini hukujaribu PT? au wee nia yako ni JW??Jaman mwenye uhakika na kazi ani Cheki pm ila na lipa nusu nikiwa course nalipa yote nimepigwa more than 6 milions since 2021
Yeah uko sahihi, unaweza pigiwa simu, dkk za jioooooooni, chaliiiiiUkweli mchungu ni kwamba hata simu watu zikiita hawasemi sababu wanaogopa hawana uhakika uko waendalo km kunakutobowa ndomana wanavinga tu
Aiseeeh unapoteza hela since 2021 na una ndugu yako yuko chomboni, even yeye kuwa hapo ni familia yako ndio ilimsaidia?Mkuu hii ni kweli ila mara nyingi hua ni mbaya sana kama mmetokea juu then mkafilisika…For instance nina ndugu yangu tena wa damu ni canal but hana msaada even though alipata kazi hio through familia yangu sema ni jamii za wale watu anaogopa ukipata kazi unaweza mzidi.
Subirii sasa mchakato utakapoanza afu tafuta upenyo, then weka mazingira yako.Mkuu mimi PT nikipata connection ya uhakika hata 4M natoa.
Pamoja sana mkuu👊 ….Mungu atusaidie na sisi siku moja iwe bahat yetu uko chomboniNakukubali sana mwanangu naamin ipo sikuntutaingia chomboni kaka tuendelee kupambana
More than 6 millions!! Pole sana mkuu, jaribu kutafuta watu sahihi ili usiendelee kupoteza pesa. Au kama vipi jaribu kumcheki mkuu iloreJaman mwenye uhakika na kazi ani Cheki pm ila na lipa nusu nikiwa course nalipa yote nimepigwa more than 6 milions since 2021
Kuna binadamu ni wakatili sana! Yani unakula milion3 ya kijana ambae ana hustle kitaa kwa uchungu ili apate walau kazi na aweze endesha maisha hii si ni laana kabisa jamani! Bora hata angemrudishia nusu ya iyo pesa aiseeDuuh nani huyo kakula 3M yako na hakukusaidia? Watu wabaya sanaa.
Sasa si bora angefanya kukurudishia hata nusu, ko hasara mazimaa?
Nakushauri usipoteze tena hela huko TPDF, nenda PT utaulaa kirahisi mnoo.
Kubabeki roho za wakaanga sumu hao.Hawa matapeli ni wengi mim binafsi yangu nilitapeliwa piya mambo haya haya polisi nikapigwa za kichwa nakumbumka jamaa alitaka milion tatu laki tano nikampa hela za mwanzo laki tano alafu alivyokuwa katili anajuwa nafasinhana ananambia ninunuwe tranka nijiandae daaa