RTS shoga hatoboi. Hata kama upite kimaajabu wakati wa kozi lazima uteme bungo. Kozi ikichanganya lazima mambo yawe wazi.. kuna dogo alikuaga na mshono mbanga yake ilikua nzito mbona wali
Asee hii Noma Sana, wewe kwani unajua labda hata kuskia SM zinaita au lini?Sio kukatisha tamaa huo ndio ukweli mdgo wangu kama ukitaka tufarijiane sawa. Now njia pekee ya kupata nafasi ni (Mungu) hakuna kinachoshindikana kwake, bahati, Kama unamganga wako Sumbawanga kaloge sana lkn ivyo vyote ni asilimia 1% mganga pekee wa uhakika ni mbanga tena nzito sana