Msolid extra
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 274
- 195
Unakuta anasaidia wengi sio wewe pekee...ingekua ni mwenyew mbona ningekua nishavaa kitengeeMkuu * brigedia ni chuma kizito sanaaa.
Unakuta anasaidia wengi sio wewe pekee...ingekua ni mwenyew mbona ningekua nishavaa kitengeeMkuu * brigedia ni chuma kizito sanaaa.
Yeah ….pale Dodoma kwenye usaili naweza sema asilimia 70% ya watu walikua ni watoto wa wakubwa, nakumbuka nilibahatika kupata marafiki wawili watoto wa wakubwa mmoja alikua ni mdogo wake na kamishna msaidizi wa polisi na mkuu wa polisi jamii mkoa wa Dodoma kwa wakati ule mwana mama mmoja hivi, sema nilikuja kupotezana nao baada ya cm yangu kupotea hawa wote walienda ccp maana walikua wamaelekezo.Hawa jamaa wanafigisu sanaa aisee ila kwa uzoefu wangu niseme tu Ukipata mbanga mzuri wa kueleweka unazama CCP bila shida tena hta bila kuchoshana kwenye usaili hukoo we unaenda kuripot direct CCP....Wanangu wengi wa OP walipoona baka linakua gumu walienda kufosi huko na wote walitoboa sahv wanakula maishaa tuu
Mkuu karne huu contacts zinatunzwa kwenye email.Pal
Yeah ….pale Dodoma kwenye usaili naweza sema asilimia 70% ya watu walikua ni watoto wa wakubwa, nakumbuka nilibahatika kupata marafiki wawili watoto wa wakubwa mmoja alikua ni mdogo wake na kamishna msaidizi wa polisi na mkuu wa polisi jamii mkoa wa Dodoma kwa wakati ule mwana mama mmoja hivi, sema nilikuja kupotezana nao baada ya cm yangu kupotea hawa wote walienda ccp maana walikua wamaelekezo.
Na hii ndio shida unakuta anasaidia wengi na katika hao wengi unakuta ni ndugu zake na watu wake wa karibu sana sasa hawez akaacha ndugu zake wateseke mtaani alafu akusaidie ww, tena brigedia mbali sana hata kanali anaweza akakusaidia maana hua wanakua na nafas mpka 3 za kupeleka watu huko wakale kozi.Unakuta anasaidia wengi sio wewe pekee...ingekua ni mwenyew mbona ningekua nishavaa kitengee
Mkuu kwa wakati huo nilijua ccp uhakika kwahyo sikua na mazingatio hayo ya izo nambaMkuu karne huu contacts zinatunzwa kwenye email.
Ulikuwa una mbuyu mkuuMkuu kwa wakati huo nilijua ccp uhakika kwahyo sikua na mazingatio hayo ya izo namba
Huyo bimkubwa namjuaa sanaa Tuu na madogo zake wengi wako PT....yaan msingi mkubwa wa PT we kua na mbanga yakueleweka tu unazama tena kilainii hawana unfit za kijinga kama JWPal
Yeah ….pale Dodoma kwenye usaili naweza sema asilimia 70% ya watu walikua ni watoto wa wakubwa, nakumbuka nilibahatika kupata marafiki wawili watoto wa wakubwa mmoja alikua ni mdogo wake na kamishna msaidizi wa polisi na mkuu wa polisi jamii mkoa wa Dodoma kwa wakati ule mwana mama mmoja hivi, sema nilikuja kupotezana nao baada ya cm yangu kupotea hawa wote walienda ccp maana walikua wamaelekezo.
Yes umeinena vyema sana na ndo inakuaga hivyooo mara nyingiiNa hii ndio shida unakuta anasaidia wengi na katika hao wengi unakuta ni ndugu zake na watu wake wa karibu sana sasa hawez akaacha ndugu zake wateseke mtaani alafu akusaidie ww, tena brigedia mbali sana hata kanali anaweza akakusaidia maana hua wanakua na nafas mpka 3 za kupeleka watu huko wakale kozi.
Daaah kwan tpdf unaweza ukawa na mbaga na usitoboeHuyo bimkubwa namjuaa sanaa Tuu na madogo zake wengi wako PT....yaan msingi mkubwa wa PT we kua na mbanga yakueleweka tu unazama tena kilainii hawana unfit za kijinga kama JW
Unaanza kuletewa mambo ya unfit za kijinga ambapo CCP hawana hayo mambo mengiiDaaah kwan tpdf unaweza ukawa na mbaga na usitoboe
Yes ni ACP Eva stesheni, kuna mdogo ake mwingine wa kike nafikir ananyota mbili kwasasaHuyo bimkubwa namjuaa sanaa Tuu na madogo zake wengi wako PT....yaan msingi mkubwa wa PT we kua na mbanga yakueleweka tu unazama tena kilainii hawana unfit za kijinga kama JW
Duh! Mnawajua aise mkuuYes ni ACP Eva stesheni, kuna mdogo ake mwingine wa kike nafikir ananyota mbili kwasasa
Hahah kama mbanga wako ni brigedia general, major general, luten general au waziri wa ulinzi basi kozi ni uhakika bila kweree wenzako utawakuta usatani 😅Daaah kwan tpdf unaweza ukawa na mbaga na usitoboe
Sikuhizi sio CCP NI shule Kuu ya Polisi Moshi, huku na CMK angalau kunaeleweka tu na formula yake ipo ila MSATA asieehe naonaga hata kufika kule ni Bahati tu yaan hata mfumo wake huwa haueleweki kabisaaDah pole sana mkuu.
Ujue kupenya CCP na KIWIRA huwa naona kidogo ni vyepesi Ukikompare na JW.
Safar hii bila shaka wanarudi usichoke omba.
Hapo kwenye UNFIT hadi leo watu wangu wakaribu hawajaahi kuheal kabisa JW unatolewa UNFIT hata hujui sababu ni nini haswa afu hao hao wanakomaa PT na MT wanapata nafasiUnaanza kuletewa mambo ya unfit za kijinga ambapo CCP hawana hayo mambo mengii
Boss kwenye unfit kinacho watoa watu Sana ni nini?Hapo kwenye UNFIT hadi leo watu wangu wakaribu hawajaahi kuheal kabisa JW unatolewa UNFIT hata hujui sababu ni nini haswa afu hao hao wanakomaa PT na MT wanapata nafas
Boss,Boss kwenye unfit kinacho watoa watu Sana ni nini?
Kwahyo wanavyosema wanavua nguo ni Sawa? Au make wengine dini haziruusuBoss,
Unfit wapo katika makundi mawili, la kwanza ni Nyaraka na pili ni Afya.
kama Nyaraka zimenyooka wale hakuna shida, ila wengi Kuna vimakosa wazazi walifanyaga kwenye uandikishaji wa majina unakuja jina lipo cheti hichi, cheti kile halipo pamoja na Nida. Ukivuka hapo Kongole kubwa.
Kwenye Afya hapa pagumu sana kiutaratibu mkiwa ni wengi na lengo ni kupunguza watu🤣🤣🤣 Dr akikuangalia mara mbili wewe ni kwaheri.
Nevertheless, learn to use back door kwenye hizi ghost vacancy.
Daaah mkuuu punguza kufungua codee mzee vichechee ni wengii😀😀😀😂😂Yes ni ACP Eva stesheni, kuna mdogo ake mwingine wa kike nafikir ananyota mbili kwasasa
Usilete mambo ya dini jeshiniii mzeeKwahyo wanavyosema wanavua nguo ni Sawa? Au make wengine dini haziruusu