BARDIZBAH
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 6,410
- 13,052
Rudia njia hiyo hiyo ya mwakajana au jamaa kakata kamba?Kimemo
Rudia njia hiyo hiyo ya mwakajana au jamaa kakata kamba?Kimemo
Yupo Hai ngoja tuone,,Na sahivi kawa Brig.GenRudia njia hiyo hiyo ya mwakajana au jamaa kakata kamba?
Swadaktaaaa!!Sifa Kimemoo[emoji2969][emoji2969][emoji2969]
Tuma mzeeHaya sasa jamaa yangu mmoja tulikua nae OP Moja Kikosini na mwaka jana Makutu tulikua nae kapigiwa simu jana...naleta attachment ya namba ilompigia nasubiria anitumie scre
Tena simu zitapigwa mwisho ijumaa SAA 11. Ikipita hapo bas tukutane mwakaniii.Haya sasa jamaa yangu mmoja tulikua nae OP Moja Kikosini na mwaka jana Makutu tulikua nae kapigiwa simu jana...naleta attachment ya namba ilompigia nasubiria anitumie screenshot
OhooooooTena simu zitapigwa mwisho ijumaa SAA 11. Ikipita hapo bas tukutane mwakaniii.
Ila Rasmi ni kuanzia keshokutwa J3 ndio simu zitapigwa hadi Ijumaa.
Hapo uhakika mkuu niwewee tu.Yupo Hai ngoja tuone,,Na sahivi kawa Brig.Gen
Duh!! NomaaHaya sasa jamaa yangu mmoja tulikua nae OP Moja Kikosini na mwaka jana Makutu tulikua nae kapigiwa simu jana...naleta attachment ya namba ilompigia nasubiria anitumie screenshot
Tuombe MUNGU🤲Hapo uhakika mkuu niwewee tu.
SubiriiTuma mzee
Anza kunywa maji mengiiiTuombe MUNGU🤲
Hawa polisi sitokaa niwasahau, mwaka juzi nilipiga usaili pale Dodoma kwa muda wa week2! Picha linaanza Tanzania nzima(mikoa yote) usaili wameitwa watu elfu37, pale Dodoma tulikua watu elfu3 kwa ajili ya usaili nikapambana pale na michujo yote (mabio, urefu, mtihani wa kuandika, afya, oral interview, walituvua mpka nguo tukabakii kama tulivyozaliwa ili kutukagua😄) mpaka tukaja kubaki watu kama 450 hivi ikawa imebaki hatua ya mwisho kwenda kwa mkuu wa mkoa siku mbili kabla ya kwenda kwa mkuu wa mkoa nilishangaa ghafla kuona sura ngeni za watu tukiwa tunafoleni kwa ajili ya kuitwa majina na kupewa maelekezo pia idadi nikashangaa kama imeongezeka hivi na majina yamefika mpka 500 na zaidi basi watu tukakausha tu, siku ya mwisho tukaenda kwa mkuu wa mkoa nakumbuka kamati nzima ya usalama ya mkoa wa Dodoma ilikua pale ndani, basi tukapiga usaili pale kuanzia saa10 jioni mpka tukaja kumaliza saa6 usiku ndo tunamwagwa pale kwa mkuu wa mkoa tukaambiwa twende makwetu na tusubir majina ya mwisho watatoa …..pdf la mwisho la kwenda ccp linakuja kutoka nikakuta washanikata daah sitokaa nisahau.
Dah pole sana mkuu.Hawa polisi sitokaa niwasahau, mwaka juzi nilipiga usaili pale Dodoma kwa muda wa week2! Picha linaanza Tanzania nzima(mikoa yote) usaili wameitwa watu elfu37, pale Dodoma tulikua watu elfu3 kwa ajili ya usaili nikapambana pale na michujo yote (mabio, urefu, mtihani wa kuandika, afya, oral interview, walituvua mpka nguo tukabakii kama tulivyozaliwa ili kutukagua😄) mpaka tukaja kubaki watu kama 450 hivi ikawa imebaki hatua ya mwisho kwenda kwa mkuu wa mkoa siku mbili kabla ya kwenda kwa mkuu wa mkoa nilishangaa ghafla kuona sura ngeni za watu tukiwa tunafoleni kwa ajili ya kuitwa majina na kupewa maelekezo pia idadi nikashangaa kama imeongezeka hivi na majina yamefika mpka 500 na zaidi basi watu tukakausha tu, siku ya mwisho tukaenda kwa mkuu wa mkoa nakumbuka kamati nzima ya usalama ya mkoa wa Dodoma ilikua pale ndani, basi tukapiga usaili pale kuanzia saa10 jioni mpka tukaja kumaliza saa6 usiku ndo tunamwagwa pale kwa mkuu wa mkoa tukaambiwa twende makwetu na tusubir majina ya mwisho watatoa …..pdf la mwisho la kwenda ccp linakuja kutoka nikakuta washanikata daah sitokaa nisahau.
Nakumbuka tukiwa kwenye usaili afande mkuu anaesimamia usaili (ASSISTANCE INSPECTOR) alisikika akimwambia mwezie “siwezi onngeza mtu mkeka wakubwa wameshaubariki ” apo ndo nilipokuja kujua kua hizi mambo ni mwendo wa vimemo na maelekezo kwa kwenda mbele 😄😄Hawa polisi sitokaa niwasahau, mwaka juzi nilipiga usaili pale Dodoma kwa muda wa week2! Picha linaanza Tanzania nzima(mikoa yote) usaili wameitwa watu elfu37, pale Dodoma tulikua watu elfu3 kwa ajili ya usaili nikapambana pale na michujo yote (mabio, urefu, mtihani wa kuandika, afya, oral interview, walituvua mpka nguo tukabakii kama tulivyozaliwa ili kutukagua😄) mpaka tukaja kubaki watu kama 450 hivi ikawa imebaki hatua ya mwisho kwenda kwa mkuu wa mkoa siku mbili kabla ya kwenda kwa mkuu wa mkoa nilishangaa ghafla kuona sura ngeni za watu tukiwa tunafoleni kwa ajili ya kuitwa majina na kupewa maelekezo pia idadi nikashangaa kama imeongezeka hivi na majina yamefika mpka 500 na zaidi basi watu tukakausha tu, siku ya mwisho tukaenda kwa mkuu wa mkoa nakumbuka kamati nzima ya usalama ya mkoa wa Dodoma ilikua pale ndani, basi tukapiga usaili pale kuanzia saa10 jioni mpka tukaja kumaliza saa6 usiku ndo tunamwagwa pale kwa mkuu wa mkoa tukaambiwa twende makwetu na tusubir majina ya mwisho watatoa …..pdf la mwisho la kwenda ccp linakuja kutoka nikakuta washanikata daah sitokaa nisahau.
Asante nishapoa mkuu, kupenya ccp kwa watu wa form4 si jambo gumu sana kikubwa tu nikumuomba Mungu na kutulia vizuri kwenye usaili ….kuna mwanagu apo na yeye amehitimu awamu hii ambae mwaka juzi tulikosa wote kule Dodoma.Dah pole sana mkuu.
Ujue kupenya CCP na KIWIRA huwa naona kidogo ni vyepesi Ukikompare na JW.
Safar hii bila shaka wanarudi usichoke omba.
USirahisishe mambo kiasi hikoooAnza kunywa maji mengiii
Jiandae kukesha na log tu mkuu
Bila kusahau andaa mgongo wako vizuri kwa fimbo.
Mkuu * brigedia ni chuma kizito sanaaa.USirahisishe mambo kiasi hikooo
Hawa jamaa wanafigisu sanaa aisee ila kwa uzoefu wangu niseme tu Ukipata mbanga mzuri wa kueleweka unazama CCP bila shida tena hta bila kuchoshana kwenye usaili hukoo we unaenda kuripot direct CCP....Wanangu wengi wa OP walipoona baka linakua gumu walienda kufosi huko na wote walitoboa sahv wanakula maishaa tuuHawa polisi sitokaa niwasahau, mwaka juzi nilipiga usaili pale Dodoma kwa muda wa week2! Picha linaanza Tanzania nzima(mikoa yote) usaili wameitwa watu elfu37, pale Dodoma tulikua watu elfu3 kwa ajili ya usaili nikapambana pale na michujo yote (mabio, urefu, mtihani wa kuandika, afya, oral interview, walituvua mpka nguo tukabakii kama tulivyozaliwa ili kutukagua😄) mpaka tukaja kubaki watu kama 450 hivi ikawa imebaki hatua ya mwisho kwenda kwa mkuu wa mkoa siku mbili kabla ya kwenda kwa mkuu wa mkoa nilishangaa ghafla kuona sura ngeni za watu tukiwa tunafoleni kwa ajili ya kuitwa majina na kupewa maelekezo pia idadi nikashangaa kama imeongezeka hivi na majina yamefika mpka 500 na zaidi basi watu tukakausha tu, siku ya mwisho tukaenda kwa mkuu wa mkoa nakumbuka kamati nzima ya usalama ya mkoa wa Dodoma ilikua pale ndani, basi tukapiga usaili pale kuanzia saa10 jioni mpka tukaja kumaliza saa6 usiku ndo tunamwagwa pale kwa mkuu wa mkoa tukaambiwa twende makwetu na tusubir majina ya mwisho watatoa …..pdf la mwisho la kwenda ccp linakuja kutoka nikakuta washanikata daah sitokaa nisahau.