Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Sikuhizi sio CCP NI shule Kuu ya Polisi Moshi, huku na CMK angalau kunaeleweka tu na formula yake ipo ila MSATA asieehe naonaga hata kufika kule ni Bahati tu yaan hata mfumo wake huwa haueleweki kabisaa
Jina CCP haliwezi kutokaa hata waedit viip kufupisha mengi sisi tunatambua hilo,,ukianza kumwambia mtu TPS haelewi so CCP remains popular and clear to everyonee
 
Hapo kwenye UNFIT hadi leo watu wangu wakaribu hawajaahi kuheal kabisa JW unatolewa UNFIT hata hujui sababu ni nini haswa afu hao hao wanakomaa PT na MT wanapata nafasi
Ndo iko hivyoo mimi washkaj zangu tuliokua kitengo kimoja pale Jkt tulitemwa usaili wa kwanza JW kisa unfit walivorudi wakasema baka gumu tufosi PT aisee woye walienda tena intake moja....tukabaki sie vichwa ngumu tunaotaka kuingia ety 92KJ 😂😂ndo tunakula ndoige hadi leoo tumetii sasaa
 
Ndioo manake ukianza kuleta dini ambako unakatazwa "USIUE" ila jeshini unafikiri kazi ya Silaha ni ninii kama sio Kuua? Ukiona jambazi hutaua? Ndo maan nasema usilete mambo ya dini jeshinii
Yan kiufupi nilitaka Tu kujua kwenye afya usahili wanaangazia vitu gan, ili tuwe aware na kitachotokea
 
Boss,
Unfit wapo katika makundi mawili, la kwanza ni Nyaraka na pili ni Afya.
kama Nyaraka zimenyooka wale hakuna shida, ila wengi Kuna vimakosa wazazi walifanyaga kwenye uandikishaji wa majina unakuja jina lipo cheti hichi, cheti kile halipo pamoja na Nida. Ukivuka hapo Kongole kubwa.
Kwenye Afya hapa pagumu sana kiutaratibu mkiwa ni wengi na lengo ni kupunguza watu🤣🤣🤣 Dr akikuangalia mara mbili wewe ni kwaheri.

Nevertheless, learn to use back door kwenye hizi ghost vacancy.
mshamba_hachekwi
 
Upo
Jina CCP haliwezi kutokaa hata waedit viip kufupisha mengi sisi tunatambua hilo,,ukianza kumwambia mtu TPS haelewi so CCP remains popular and clear to everyonee
Upo sahihi na rahisi kutamkika mkuu
 
Hawa polisi sitokaa niwasahau, mwaka juzi nilipiga usaili pale Dodoma kwa muda wa week2! Picha linaanza Tanzania nzima(mikoa yote) usaili wameitwa watu elfu37, pale Dodoma tulikua watu elfu3 kwa ajili ya usaili nikapambana pale na michujo yote (mabio, urefu, mtihani wa kuandika, afya, oral interview, walituvua mpka nguo tukabakii kama tulivyozaliwa ili kutukagua[emoji1]) mpaka tukaja kubaki watu kama 450 hivi ikawa imebaki hatua ya mwisho kwenda kwa mkuu wa mkoa siku mbili kabla ya kwenda kwa mkuu wa mkoa nilishangaa ghafla kuona sura ngeni za watu tukiwa tunafoleni kwa ajili ya kuitwa majina na kupewa maelekezo pia idadi nikashangaa kama imeongezeka hivi na majina yamefika mpka 500 na zaidi basi watu tukakausha tu, siku ya mwisho tukaenda kwa mkuu wa mkoa nakumbuka kamati nzima ya usalama ya mkoa wa Dodoma ilikua pale ndani, basi tukapiga usaili pale kuanzia saa10 jioni mpka tukaja kumaliza saa6 usiku ndo tunamwagwa pale kwa mkuu wa mkoa tukaambiwa twende makwetu na tusubir majina ya mwisho watatoa …..pdf la mwisho la kwenda ccp linakuja kutoka nikakuta washanikata daah sitokaa nisahau.
Ukiona kila kitu umepita afu uko kusubiri kuitwa CCP, mwisho huitwi, ujue nafasi yako kuna mtu ameinunua.

Bila chochote kitu hutoboi hii nchi. Lol
 
Nakumbuka tukiwa kwenye usaili afande mkuu anaesimamia usaili (ASSISTANCE INSPECTOR) alisikika akimwambia mwezie “siwezi onngeza mtu mkeka wakubwa wameshaubariki ” apo ndo nilipokuja kujua kua hizi mambo ni mwendo wa vimemo na maelekezo kwa kwenda mbele [emoji1][emoji1]
Bila kimemo hutoboi hii nchi hasa sekta ya Ulinzi. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hawa jamaa wanafigisu sanaa aisee ila kwa uzoefu wangu niseme tu Ukipata mbanga mzuri wa kueleweka unazama CCP bila shida tena hta bila kuchoshana kwenye usaili hukoo we unaenda kuripot direct CCP....Wanangu wengi wa OP walipoona baka linakua gumu walienda kufosi huko na wote walitoboa sahv wanakula maishaa tuu
CCP ukiwa na hela cash, wala usisumbuke kwenda kwa usaili na na nini, wee subiri ule wakati wa watu wakisubiri kuitwa CCP, ndo tafuta zako upenyo toa faranga, mbona chaapu jina liko Mkekani.
Hii mbinu inatumiwa na wajanja sanaa, kunae m1 jana kahitimu hapo mzazi wake alimwaga 3M na chenjiii.


TPDF Ndio pagumu sana,
 
Boss,
Unfit wapo katika makundi mawili, la kwanza ni Nyaraka na pili ni Afya.
kama Nyaraka zimenyooka wale hakuna shida, ila wengi Kuna vimakosa wazazi walifanyaga kwenye uandikishaji wa majina unakuja jina lipo cheti hichi, cheti kile halipo pamoja na Nida. Ukivuka hapo Kongole kubwa.
Kwenye Afya hapa pagumu sana kiutaratibu mkiwa ni wengi na lengo ni kupunguza watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dr akikuangalia mara mbili wewe ni kwaheri.

Nevertheless, learn to use back door kwenye hizi ghost vacancy.
Hii ya nyaraka kuna mtu kakosa kisa spelling za ubini, ila ubini ni huo huo.
Afu ni mdada, analia lia hadi kesho. Lol
 
Kwahyo wanavyosema wanavua nguo ni Sawa? Au make wengine dini haziruusu
Kuvua nguo mbona hata kwa mujibu huwa wanakaguliwa Linda.
[emoji23][emoji23][emoji23] ila huu ni udhalilishaji kabisaa. Khaaah
 
Ndo iko hivyoo mimi washkaj zangu tuliokua kitengo kimoja pale Jkt tulitemwa usaili wa kwanza JW kisa unfit walivorudi wakasema baka gumu tufosi PT aisee woye walienda tena intake moja....tukabaki sie vichwa ngumu tunaotaka kuingia ety 92KJ [emoji23][emoji23]ndo tunakula ndoige hadi leoo tumetii sasaa
Ko wee unataka Kitengee? Hutaki sare ya Sec?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom