cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Unaweza ukahitajika na usiitwee.Hamna cha connection ...barua na vyeti vinahakikiwa kuweni wapole ....kama utahitajika utaitwa ....ni bahati yako tu
Unaweza ukahitajika na usiitwee.Hamna cha connection ...barua na vyeti vinahakikiwa kuweni wapole ....kama utahitajika utaitwa ....ni bahati yako tu
Hatua hii ya kusubiri katika maisha huzidi kuwa ngumu haswa ukiwa na matumaini.Kimya kimetawala mambo bado bila bila. Au huko juu pamoto wazee?
Dodoma wanaendelea na usahili ktkt ya mwezi huu wa sita wanaweza kuungana na wanaoendela na usahili msataKaka ilore tupe taarifa vipi sisi wa mtaani simu zitaita lini au tayar hatuna chetu
Kwahyo kama haujapigiwa simu hadi muda huu ndio basi tena??Dodoma wanaendelea na usahili ktkt ya mwezi huu wa sita wanaweza kuungana na wanaoendela na usahili msata
Duuuh kwa hiyo kama simu haijaita ndo ishakula kwetu hiyo???Dodoma wanaendelea na usahili ktkt ya mwezi huu wa sita wanaweza kuungana na wanaoendela na usahili msata
Kalinye kalinyeHhhhh basha elfu 30 zikasomwe kwel
😂😂😂Sasa sisi watu wa Ruvu Jk tusemajeishawahi nikuta 6week huko tanga kabuku mvua zilikua za vuli hadi za kifuku zikatukuta bado tupo kozi tulioza miguu balaa
ingekua ya tpdf sijui ingekyaje
Jambo AfandeKm simu haijaita week hii, bas tuliza bolii, tukutane wakatii ujao.
Waliopata miito hongereni, walio kosa pia msikate tamaa, wakati ujao tena.
Alaamskiiiii!!!
usharamba asali nin 😁Km simu haijaita week hii, bas tuliza bolii, tukutane wakatii ujao.
Waliopata miito hongereni, walio kosa pia msikate tamaa, wakati ujao tena.
Alaamskiiiii!!!
Hapanaaa!! Mie Kuvaa kitenge au sare ya Sekondary sio vitu vyangu kabisaa.usharamba asali nin 😁
Dogoo kuwa na adabu, nitakupa Doso la hatari.Jambo Afande
Wazi Afande 😁😁Dogoo kuwa na adabu, nitakupa Doso la hatari.
Oooh! 😂😂😂