Mjukuu wa taifa
JF-Expert Member
- Oct 25, 2023
- 489
- 458
Kwaiyo kama mbanga yuko vzr anaweza maliza hii inayoanza akaunganisha cadet?Siku hizi form six kwenda TMA ni ngumu sababu huchukuliwa wale wa BMS. Kutokea vikosini wanaoenda TMA mara nyingi ni kuanzia degree kwa siku hizi na muhimu uwe na mbanga pia maana maprivate wenye degree vikosini wapo wa kutosha tu.
Kupata ni ngumu pia ukipata tumia vzr nafasi kuwa mvulimu mazoezi magumuKivipi yaan
Nafasi ni ngumu kupata au kozi ni kipengele kumaliza?
Kwamba kuna watu ni unfit na watapiga koziUnalijua jeshi au unalisikia sifa mmbanga mzee unaweza uka uko fit kabisa lakin ukaenda kihangaiko ukapimwa ukaambiwa unadalili za kifafa
Unfit kula mzigo n ngum maybe kwa baadh ya physcl check napo sina uhakika kama ni rahis ku bypass ila damu mkuu damu ndio mtaji huoKwamba kuna watu ni unfit na watapiga kozi
Unfit vipengele vidogo sana ndo wanaweza piga kozi otherwise utarudi maskaniKwamba kuna watu ni unfit na watapiga kozi
Mungu ni mwema tukapambane tukipata nafasi✊Unfit vipengele vidogo sana ndo wanaweza piga kozi otherwise
Ina depend pia na tabia ya mtu ,, co kila msomi ana sifa y kua kiongoziSiku hizi form six kwenda TMA ni ngumu sababu huchukuliwa wale wa BMS. Kutokea vikosini wanaoenda TMA mara nyingi ni kuanzia degree kwa siku hizi na muhimu uwe na mbanga pia maana maprivate wenye degree vikosini wapo wa kutosha tu.
Hawa hawawezi toa Pdf mzee ngoma inogile kwa mesej tu ukihitajika utaitwaMkuu kwani majina yanatoka kwa pdf au ni kwa meseji?
Ustupange ☹️Bogi n mtu buku tatu na ushee hapo msata. Oljor haipigishi this time
Chukua hiyoooo
Uongo mkubwa sana huu....yaan walio ndan huko wanajua bogi ni la kwenda alaf huyu analeta porojo😄Ustupange ☹️
Achana nae mgambo tu huyo😎Uongo mkubwa sana huu....yaan walio ndan huko wanajua bogi ni la kwenda alaf huyu analeta porojo😄
😅😅Bogi n mtu buku tatu na ushee hapo msata. Oljor haipigishi this time
Chukua hiyoooo
Bogi n mtu buku tatu na ushee hapo msata. Oljor haipigishi this time
Chukua hiyoooo
Kwahiyo wakae kwa kutulia... 😂😂Mm nnachojua JWTZ huwa inaajiri kutoka uraiani kwa interview kwa special cases mfano wale form 6 waliofaulu vizur masomo ya sayansi, au professionals waliobakia wengine wote ajira zinapitia JKT sasa nyinyi ndugu zangu humu toka mwaka Jana mnaulizana interview interview mko kundi gani?
Huyo nae hajui ata kuongea nn naona porojo tu hapo na ujuaji mwingi🤣🤣Kwahiyo wakae kwa kutulia... 😂😂