Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

Siku hizi form six kwenda TMA ni ngumu sababu huchukuliwa wale wa BMS. Kutokea vikosini wanaoenda TMA mara nyingi ni kuanzia degree kwa siku hizi na muhimu uwe na mbanga pia maana maprivate wenye degree vikosini wapo wa kutosha tu.
Kwaiyo kama mbanga yuko vzr anaweza maliza hii inayoanza akaunganisha cadet?
 
Siku hizi form six kwenda TMA ni ngumu sababu huchukuliwa wale wa BMS. Kutokea vikosini wanaoenda TMA mara nyingi ni kuanzia degree kwa siku hizi na muhimu uwe na mbanga pia maana maprivate wenye degree vikosini wapo wa kutosha tu.
Ina depend pia na tabia ya mtu ,, co kila msomi ana sifa y kua kiongozi
 
Mm nnachojua JWTZ huwa inaajiri kutoka uraiani kwa interview special cases mfano wale form 6 waliofaulu vizur masomo ya sayansi, au professionals waliobakia wengine wote ajira zinapitia JKT sasa nyinyi ndugu zangu humu toka mwaka Jana mnaulizana interview interview mko kundi gani? Au mnafikiri JWTZ ni Tamisemi?
 
Mm nnachojua JWTZ huwa inaajiri kutoka uraiani kwa interview kwa special cases mfano wale form 6 waliofaulu vizur masomo ya sayansi, au professionals waliobakia wengine wote ajira zinapitia JKT sasa nyinyi ndugu zangu humu toka mwaka Jana mnaulizana interview interview mko kundi gani?
Kwahiyo wakae kwa kutulia... 😂😂
 
Back
Top Bottom